Polepole: Nilivyosema vya CCM hivyo ni vidogo, nilikuwa ni mwage hadharani mambo yanahujumu maslai ya taifa letu

Kuna mtu tutamwita mbwa muoga uiba na kuweka kisha anajificha
 
Bwahabwahabwahaaahaaaaaaaa!!!!
Kwakuwa wenyewe, nyumbu wa lissu, yanawapa faraja kuwa yatawezesha lissu kuingia ikulu basi acha kina pole pole waendelee kujilia tone tone
You motherfuckers have to deal with your own shit...chadema inaingiaje hapo..mbona ni ccm ndio wanafatilia haya matamko ...
 
Kwahiyo mmeingia kwenye huu mtego?
Acha uzwa zwa wewe, mtego gani huo ambao serikali yako ya CCM wanapambana huyu jamaa asiongee wala kusikika kwenye vyombo vya habari? Tumia akili usitumie makalio
 
Sasa tumejua kumbe wapiga kelele wa humu wamepangiwa apartment Masaki

Wamelipiwa bundle la bure kazi yao ni kutukana watu na kusifia watawala.
 
Katika hao watu 1,000 waliojiunga kumtizama Polepole, Kikwete, Mama Abdul, na kundi lao la kihuni walikuwepo wakisikiliza kiumakini.
 
Wewe ni nani hadi umpangie yeye na wanaotaka kumsikiliza.
Huoni upumbavu wako ulio wazi kabisa?
Mimi naitwa msema kweli hivyo naitaji ajisafishe kwanza kwa damu ya lisu na ya saa8 aseme ukweli apate kuaminika unasikia wewe mwendawazimu kinyeo wazi
 
Kwa ivo asipojua mambo ya kupigwa risasi Kwa Lissu ndiyo na mambo mengine pia hayajui?
Nani kakudanganya chakubanga hamjui aliompiga lisu risasi?tena ushauri kalitoa kenyewe kachakubanga sema kameamua kuendeleza upumbafu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…