Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
πNa amesema hatohamaNa anaishi umo umo Kwenye chama ππ na KADI anayo ....
Embu mwambie awape WATANZANIA elimu ya katiba mpya na faida zake kwa maslai ya taifa kuliko hii ya ss ambayo maslai inawalinda yy na wenzie kuendelea kula mema ya nchi.....kuliko hzo kelele zake Kila ckuππ
Anatuchoraaaaaaaaaa π ππNa amesema hatohama
Mi nafikiri maadam umeishajiuzulu, ungelikaa kimya uka deal na ishu zako. Ila kama ishu zako zilikuwa kujiuzulu ili usiseme Serikali, sawa. Lakini ukumbuke kuwa Serikali ya CCM tangu uhuru imekuwa ikisemwa na bado ipo inadunda! Hata wewe utaisemaaaaaa mwisho wa siku utaiacha inadunda!!!Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
View attachment 3419062
Kwahiyo asiseme kisa waliowahi kusema waliiacha hiyo serikali ikidunda?Mi nafikiri maadam umeishajiuzulu, ungelikaa kimya uka deal na ishu zako. Ila kama ishu zako zilikuwa kujiuzulu ili usiseme Serikali, sawa. Lakini ukumbuke kuwa Serikali ya CCM tangu uhuru imekuwa ikisemwa na bado ipo inadunda! Hata wewe utaisemaaaaaa mwisho wa siku utaiacha inadunda!!!
Anatuchoraaaaaaaaaa π π
Tupe wewe hiyo elimu, kwanini unampangia yeyeNa anaishi umo umo Kwenye chama ππ na KADI anayo ....
Embu mwambie awape WATANZANIA elimu ya katiba mpya na faida zake kwa maslai ya taifa kuliko hii ya ss ambayo maslai inawalinda yy na wenzie kuendelea kula mema ya nchi.....kuliko hzo kelele zake Kila ckuππ
Kwamba afungue darasa?πTupe wewe hiyo elimu, kwanini unampangia yeye
Eee maana wabongo kazi kupangia wengine cha kufanya, afungue darasa atupigie pindiKwamba afungue darasa?π
Niliwahi kushauri na Chadema kama wanauona CCM haifanyi vizuri wote wajiunge CCM ili wabadilishe kile wanataka kibadilike. Hii ni kwa sababu CCM Ina mfumo imara mpaka mashinani, hivyo ni Rahisi kurekebisha mambo ukiwa ndani ya CCM.πNa amesema hatohama
Ewaaaah !Na anaishi umo umo Kwenye chama ππ na KADI anayo ....
Embu mwambie awape WATANZANIA elimu ya katiba mpya na faida zake kwa maslai ya taifa kuliko hii ya ss ambayo maslai inawalinda yy na wenzie kuendelea kula mema ya nchi.....kuliko hzo kelele zake Kila ckuππ
Hata Wana CCM wenyewe kama Polepole wanaikosoa CCM wakiwa uhamishoni kwa uoga π€£π€£π€£π€£ !Niliwahi kushauri na Chadema kama wanauona CCM haifanyi vizuri wote wajiunge CCM ili wabadilishe kile wanataka kibadilike. Hii ni kwa sababu CCM Ina mfumo imara mpaka mashinani, hivyo ni Rahisi kurekebisha mambo ukiwa ndani ya CCM.
Povu ruksa kwa Chadema members tu!
Sijasema asiiseme, bali nimesema CCM itaendelea kudunda. Kama vipi angedili na mishe zake zengine kwasababu akipigika kimaisha huko mbele HAKUNA atakayemkubuka, maana watakuwa wameibuka wengine!Kwahiyo asiseme kisa waliowahi kusema waliiacha hiyo serikali ikidunda?
Tunaungana na polepole kumuunga mkono daktariHumphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
View attachment 3419062