Polepole: Nimeshahojiwa na Kamati ya Maadili ya Chama, hiki ni kikao cha ndani hivyo taarifa rasmi zitatolewa na chama

Polepole: Nimeshahojiwa na Kamati ya Maadili ya Chama, hiki ni kikao cha ndani hivyo taarifa rasmi zitatolewa na chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.

Polepole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.

Polepole.jpg

Chanzo: Ayo tv

Jumaa kareem!
 
Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.

Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.

Source: Ayo tv

Jumaa kareem!
Amepigwa ban vikao vingapi John
 
Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.

Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.

Source: Ayo tv

Jumaa kareem!
Who is he?
 
Hakuna jipya. LET FREEMAN FREE.
 
Huyo ni wa kuteuliwa, sio viti maalum.
 
Hata yeye anatoa tuhuma kuhusu chanjo ambazo hawezi kuzithibitisha.
Hata hao wanaopigia debe hapa kwetu huenda hawajafanya utafiti kwa kutumia maabara zetu juu ya content ya chanjo ili wawe na moral and scientific authority kuwabagaza ambao hawajachanja.

Aidha imeshangaza kusikia Zbar wale waliochanja aina tofauti na JJ wanalazimika kuchanja upya.

Ni ajabu sana nchi badala ya ku-focus kwenye majors issues tunawekeza kwenye minors.

Taarifa za WHO inaonesha walio-recover kutoka kwenye corona ni zaidi ya 98%.

I wish fucus ibaki kwenye kula chakula bora kujenga kinga ya mwili ili kwa uhiari wa kuchanja au kutochanja tusibaguane.
 
Back
Top Bottom