Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Hiyo haiondoi ukweli kuwa wale 10 wa rais ni wa kuteuliwa na hao wengine ni viti maalum. Kwa maelezo zaidi muulize yule Mzee nani yule wa Kwenye kijiwe chanjo.Kwani viti maalumu wanachaguliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haiondoi ukweli kuwa wale 10 wa rais ni wa kuteuliwa na hao wengine ni viti maalum. Kwa maelezo zaidi muulize yule Mzee nani yule wa Kwenye kijiwe chanjo.Kwani viti maalumu wanachaguliwa?
Bungeni hakuna wabunge wa kuteuliwa bwashee.Hiyo haiondoi ukweli kuwa wale 10 wa rais ni wa kuteuliwa na hao wengine ni viti maalum. Kwa maelezo zaidi muulize yule Mzee nani yule wa Kwenye kijiwe chanjo.
Kwanza afadhali wa viti maalum kuliko mwanaume mwenzako akuteuwe tu kuwa mbunge bila watu kujua kigezo kilichotumika,hayo mambo wakati mwingine yanatupa mashaka sana.Huyo ni wa kuteuliwa,sio bit maalum.
Halafu unajiita kamandaWho is he?
Naye amehojiwa leo.Alikuwa anashiriki kuwahoji wengine na kuwanyamba pia.Mambo yanabadilika kwa haraka mno.Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.
Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.
Source: Ayo tv
Jumaa kareem!
Hiyo haiondoi ukweli kuwa wale 10 wa rais ni wa kuteuliwa na hao wengine ni viti maalum. Kwa maelezo zaidi muulize yule Mzee nani yule wa Kwenye kijiwe chanjo.
Hata AG ni viti maalumu bwashee!Naye amehojiwa leo.Alikuwa anashiriki kuwahoji wengine na kuwanyamba pia.Mambo yanabadilika kwa haraka mno.
By the way hata mbuge wa kiume wa kuteuliwa naye ni wa viti maalumu?
Hapo umemtendea haki Ni Mbunge wa viti maalumu asubili mamlaka iliyompa huo ubunge.Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.
Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.
Source: Ayo tv
Jumaa kareem!
Hahahaaaa......!Mrema aliwahi kumuhoji mbatia kateuliwa viti maalum na wakati havai sketi, yaani alionewa huruma na j.k hata kama havai sketi
Kuna nafasi nyingi za kuteuliwa, ubunge, uwaziri, makatibu, na zinginezoKwanza afadhali wa viti maalum kuliko mwanaume mwenzako akuteuwe tu kuwa mbunge bila watu kujua kigezo kilichotumika,hayo mambo wakati mwingine yanatupa mashaka sana.