johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu acha yauane haya mafisadiZilizala la Chama Cha Mapinduzi!
Amepigwa ban vikao vingapi JohnMbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.
Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.
Source: Ayo tv
Jumaa kareem!
Kama nyumbu wanavyouwana kwa sababu ya hawa covid 19.Mkuu acha yauane haya mafisadi
Hatari snKama nyumbu wanavyouwana kwa sababu ya hawa covid 19.
Kwani hujaona fisi wameanza kutafuta aliyenona miongoni mwao wameanza kugeuzwa vitoweo.Kama nyumbu wanavyouwana kwa sababu ya hawa covid 19.
Mpuuzi sn huyo afukuzweUlidhani Madaraka Hayana Mwisho, Basi Kinywee Kilekile ulichokuwa unawanyweshea Wenzako. Cheo ni Dhamana..
Aibu kubwa sn kwa CCMKwani hujaona fisi wameanza kutafuta aliyenona miongoni mwao wameanza kugeuzwa vitoweo.
Who is he?Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.
Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.
Source: Ayo tv
Jumaa kareem!
Hakuna jipya. LET FREEMAN FREE.Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.
Pole pole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na chama chenyewe kwa utaratibu wake.
Source: Ayo tv
Jumaa kareem!
Muroto!Who is he?
Kwani viti maalumu wanachaguliwa?Huyo ni wa kuteuliwa,sio bit maalum.
Kwani anawakilisha jimbo gani?Mzee Mgaya ana nongwa Sana. Kwamba Humphrey ni Mbunge wa viti maalum?
Hata hao wanaopigia debe hapa kwetu huenda hawajafanya utafiti kwa kutumia maabara zetu juu ya content ya chanjo ili wawe na moral and scientific authority kuwabagaza ambao hawajachanja.Hata yeye anatoa tuhuma kuhusu chanjo ambazo hawezi kuzithibitisha.