Polepole: Ninajua Watanzania wanachokitaka kuhusu Katiba mpya

Polepole: Ninajua Watanzania wanachokitaka kuhusu Katiba mpya

tangu alipoteuliwa ukuu wa wilaya nikajua huyu si Pole pole tena bali atakuwa ni Haraka haraka
 
Pole pole yuko makini,mkweli na habadiliki kama Mbowe,
Nakweli yuko makini maana alisema madaraka ya raisi ni makubwa nno na katiba impunguzie hayo madaraka Lakini madaraka hayoayo yalipo kuwa makubwa mno kuliko kwa upande wake anakuja na porojo eti hii ni ccm mpya ianaowasiliza wananchi kwa hayoyote yananifanya nijiulizi hivi hii kweli ni nchi yetu au
 
huyu bwana ana Mwili mdogo lakini kichwani amekomaa sana.

Amejibu kiutu uzima kama sisi wazee. Unatafuta lugha rafiki yenye utamu kama Asali ya Nyuki wadogo ili kumlainisha Mlengwa na kumpiga Rungu la Kichwa na kumwacha kwenye mataa.
 
Polepole hajui hata anasema nini!!! Ukitaka kulisukuma gari bora shuka usukume huwezi kulisukuma ukiwa ndani yake kwani utabaki unachekwa!!!!!!!
 
Polepole kwishine kutokana na majibu yake hayo huyu jamaa amejidhihirisha ni mchumia tumbo tena na punguani wa akili. Unasema wakati wa katiba mpya ukifika???? Kwa hiyo kumbe kipindi mnakusanya maoni na kuandaa rasimu ya kwanza na ya pili wakati ulikuwa haujafika? Punguani kabisa kama vijana wanakuwa mazezeta namna hii basi tumekwisha.
Hivi huyu jamaa ni kijana au mzee! huwa sielewi kabisa
 
If you want to know man character give him power....now we can see how he look like...
 
As far as kwenye kutetea rights za wananchi and promoting social equality uwezi kupata katiba bora kama ya kijamaa.

Katiba ya 1977 ni ya kijamaa hata aina ya huduma nyingi za serikari inazotoa with criteria ambazo zinaweza mfanya mwingine asipate huduma sawa katiba inakataza. Tanzania aina shida ya katiba siasa ndio tatizo, labda kupunguza madaraka ya raisi.
 
Back
Top Bottom