johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema shirika la uzalishaji mali linalomilikiwa na JWTZ liitwalo Nyumbu litaanza kutengeneza magari ya zimamoto hivi karibuni
Serikali itanunua magari ya zimamoto kutoka Nyumbu badala ya kuyaagiza nchi za nje kama ilivyokuwa awali
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Serikali itanunua magari ya zimamoto kutoka Nyumbu badala ya kuyaagiza nchi za nje kama ilivyokuwa awali
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!