Polepole: Polisi mjitafakari, imani ya Wananchi kwenu inazidi kuondoka kwa namna mnavyowajibika kwao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Humphrey Polepole ameushauri uongozi wa Jeshi la Polisi kutazama upya mwenendo wake, akibainisha kuwa uaminifu wa wananchi kwa jeshi hilo unazidi kudhoofika kadri siku zinavyosonga. Ameeleza kuwa hali ya wananchi kupuuza maagizo ya polisi na hata kuingia kwenye migongano ya wazi nao ni ishara tosha kwamba heshima kwa taasisi hiyo imepungua, hivyo ni wajibu wa viongozi wake wakuu kutafakari kwa kina kuhusu hatua za kurejesha imani hiyo.

Hawana walicho bakisha tena, labda mavazi yao, maana hata akili zao zimefungiwa kwenye kabati la ccm, zipo kwenye mfumo wa PDF kama faili...
 
Sasa hawa maiti zinazotembea zitawafanya nini zaidi ya kulalamika siku mbili tatu then maisha mengine yanaendelea!!!!

Yupo wapi Mdude
Yupo wapi Ali Kibao
Yupo wapi Soka!!

Watanzania wamewafanya nini zaidi ya kuishia kulalamika....kama hali ndio hiyo watatishika na nini huku wanafanya wanavyotaka bila bughdha!!!!

Wanawaona wananchi kama vikatuni vinavyotembea tu.......

Hata huku mitaani wakiamua wanatembea na "DIFENDA" na kukamata vijana hovyo then wanakusanya rushwa wanawaachia!!!!

Jeshi la polisi ambalo kimisingi kimbilio la kiusalama lakini badala yake limekuwa kijiwe cha wezi, wadhurumaji na wanyanganyi!!!!

Kwa kifupi jeshi limeoza kiasi kwamba ukikutana kundi la vibaka na mbele kuna gari la polisi bora ukimbilie kwa vibaka ili wakukabe lakini wanakuachia uhai wako kuliko hao mabwana wanaweza kukupoteza!!!!

Tumeona kesi kadhaa askari wa jeshi la polisi wakihusika na uporaji na hata mauaji kwa wanyonge........

Bora wananchi wakae na mishale na silaha zingine za jadi kupambana na wahalifu kuliko kuwategemea hao policcm!!!

Weledi na intelejensia Yao imejikita kwenye kuwapigania watawala tu
 
Sasa hawa maiti zinazotembea zitawafanya nini zaidi ya kulalamika siku mbili tatu then maisha mengine yanaendelea!!!!

Yupo Mdude
Yupo wapi Ali Kibao
Yupo Soka!!

Watanzania wamewafanya nini zaidi ya kuishia kulalamika....kama hali ndio hiyo watatishika na nini huku wanafanya wanavyotaka bila bughdha!!!!

Wanawaona wananchi kama vikatuni vinavyotembea tu.......

Hata huku mitaani wakiamua wanatembea na "DIFENDA" na kukamata vijana hovyo then wanakusanya rushwa wanawaachia!!!!

Jeshi la polisi ambalo kimisingi kimbilio la kiusalama lakini badala yake limekuwa kijiwe cha wezi, wadhurumaji na wanyanganyi!!!!

Kwa kifupi jeshi limeoza kiasi kwamba ukikutana kundi la vibaka na mbele kuna gari la polisi bora ukimbilie kwa vibaka ili wakukabe lakini wanakuachia uhai wako kuliko hao mabwana wanaweza kukupoteza!!!!

Tumeona kesi kadhaa askari wa jeshi la polisi wakihusika na uporaji na hata mauaji kwa wanyonge........

Bora wananchi wakae na mishale na silaha zingine za jadi kupambana na wahalifu kuliko kuwategemea hao policcm!!!

Weledi na intelejensia Yao imejikita kwenye kuwapigania watawala tu
Umeongea kwa hisia sana, ila ni ukweli mtupu.
 
Police baada kua chombo huru kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote bila kujali dini zao vyama vyao kimegeuka kua tasisi ya kutumiwa na wa siasa na Mahakama jamani hii nchi yetu sote nafikiri itaitaji kuundwa upya kiwe nacho chombo huru tuhuma za polepole walitakiwa kuhoji watu maana polepole ni mtu humo ndani tena balozi
 
Kama polisi wangelikuwa wanawajibika kweli Pole Pole angelikuwa yupo ndani saihivi kwa zaidi ya mwaka wa 5
 
Back
Top Bottom