HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi!
CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo wa rais unacheza vipi, naye anafuatisha humo humo.
Au anamtuma mtu aweke agenda inayomhusu na hakuna wa kuipinga. Hilo polepole unalijua.
Mtaje mhusika kuwa fuani unatuharibia chama...... sasa umezunguka mbuyu ..................