Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
SWALI ZURI, TENA WAHUNI HAO pOLEPOLE MWENYEWE ALIWAPALILIA SHAMBANI KWAO CCMSwali la nyongeza mheshimiwa Polepole: Awamu yako mliwasajili wahuni wangapi?
Sio kweli, JPM hakusajili wahuni, aliwakuta, na Kwa bahati mbaya sana , aliwadharau badala ya kushughulika naoSwali la nyongeza mheshimiwa Polepole: Awamu yako mliwasajili wahuni wangapi?
Katika utawala wa Rais Magufuli na mama Samia awakufanikiwa kushughulika na wahuni, kwahiyo tumebaki nao.
View attachment 3407070
HE WAS PART OF THE SCUM!Swali la nyongeza mheshimiwa Polepole: Awamu yako mliwasajili wahuni wangapi?
Katika utawala wa Rais Magufuli na mama Samia awakufanikiwa kushughulika na wahuni, kwahiyo tumebaki nao.
View attachment 3407070