upinzani usipoingia baada ya huyu mama , basi itachukua miaka mingi kupata fursa kama hii tena tenaJuzi aliwahaidi Wana masasi kuwa wataleta umeme wa gesi kusini na kituo kimoja kitawekwa masasi.
Yani ishu ya kuweka kituo cha umeme masasi anatangazia raia na anataka watu washangilie.
Kuna muda Mungu anaadhibu watu kwa kuwaketea viongozi wabovu.
Kwenu watz kuwa na kiongozi wa aina hii ni adhabu kubwa sana mnnapitia kama taifa.
Niliposoma taito tu nikafikiria hiliAna hoja,kwa issue ya marehemu kuziiwa na mahospital hajasema?
Kitu really hioNimeshituka hii video 🤔. Sio AI kweli hii ?
View attachment 3479096
aisee hatari, watu waishije huko asee ?Kitu really hio
sio fasta fasta, yeye yupo against na mama --- mama ni kweli anaweza kua mzinguajiFasta fasta kama yupo against mtu sio mfumo
huu mradi aisee, mamlaka si wangeangalia uwezekano zile za kijani za gerezani-mbagala waingie hata makubaliano ya muda mfupi zinie hapo kuokoa jahazi aiseeNimeshituka hii video 🤔. Sio AI kweli hii ?
View attachment 3479096
Na juu pale kuna bonge la bango la SamiaNimeshituka hii video 🤔. Sio AI kweli hii ?
View attachment 3479096
Hatari sana, hata kwa wasafiri aisee.. Naamini viongozi wameona hii tatizohuu mradi aisee, mamlaka si wangeangalia uwezekano zile za kijani za gerezani-mbagala waingie hata makubaliano ya muda mfupi zinie hapo kuokoa jahazi aisee
kimara gerezan na kivukoni zinafika mwezi wa 10 chini ya mwekezaj mpyahuu mradi aisee, mamlaka si wangeangalia uwezekano zile za kijani za gerezani-mbagala waingie hata makubaliano ya muda mfupi zinie hapo kuokoa jahazi aisee
hawana habari na mlalahoiHatari sana, hata kwa wasafiri aisee.. Naamini viongozi wameona hii tatizo