GE2025 Polepole: Samia anaahidi vitu vidogo vinavyoweza kufanywa na mkuu wa wilaya

GE2025 Polepole: Samia anaahidi vitu vidogo vinavyoweza kufanywa na mkuu wa wilaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kimara gerezan na kivukoni zinafika mwezi wa 10 chini ya mwekezaj mpya
kama wamesema hivyo sawa,,, ila nachokilenga ni utatuzi wa muda mfupi wa kimkakati


maana zile za kijani japo ni muwekezaji mwingine ila walisema zitaanza tarehe 1 septemba ila leo ni tarehe 26 na hakuna tamko lolote na chuma zimepaki tu

swali: unasema zinafika mwezi wa 10, bado siku 4 tu, mwezi wa kumi tarehe ngapi hasa?
 
Kwa maslahi ya nchi, yaani hafai hatoshi kabisa kuwa rais wa nchi...so sad matumbo ya watz wachache wanaofaidika na mapungufu yake yanatukosti watanzania mamilioni ya watu!.
Wanaofaidika na utawala wake hawazidi watu laki 5 out of watanzania woote milioni 63!.
 
Suala la Mwendokasi lilikua linatosha kutowarudisha watu Ikulu
 
Ni aibu sana serikali haijawahi kufanikisha mradi wowote zaidi ya bla bla tu!

Huyu maza na chama chake wajitathimini!
 
Juzi aliwahaidi Wana masasi kuwa wataleta umeme wa gesi kusini na kituo kimoja kitawekwa masasi.

Yani ishu ya kuweka kituo cha umeme masasi anatangazia raia na anataka watu washangilie.

Kuna muda Mungu anaadhibu watu kwa kuwaletea viongozi wabovu.

Kwenu watz kuwa na kiongozi wa aina hii ni adhabu kubwa sana mnnapitia kama taifa.
Naunga mkono hoja mkuu
 
Polepole taratib
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.

Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.

Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
Polepole taratibu anazidi kuteka mioyo ya watanzania huyu jamaa ni Strategic sana.. na anajua kupangilia points vizuri sana.
Anavyozidi kuongea watu wanazidi kupata ujasiri tofauti sana na upinzani kama chadema na wengine watu uwachukulia kama wanapamban na ccm huyu polepole amejijenga kama anapambana na watu waovu anapambania haki dhidi ya dhulma.
 
sio fasta fasta, yeye yupo against na mama --- mama ni kweli anaweza kua mzinguaji

ila anachotaka kutuaminisha huyu ni kwamba tuungane kupambania maslahi ya nchi kwa kumchomoa mama, hapa ndo kwenye utapeli kwa sababu chama chao kimechangua awe mgombea wao iwe kwa halali au haramu ni shida yao wenyewe

watu amabo sio wa wadau wa ccm wamuunge mkono kwa tahadhari
Ww pia mawazo Yako yamekaa kitapeli sana, ww hujawahi kumwona Samia kama tatizo.

Kuna kitu hutaki kutamka waziwazi lkn ww pia ni mnufaika wa Samia
 
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.

Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.

Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
Kujenga Choo cha msikiti na kutuletea maji matukufu ya zamzam ni kitu kidogo
 
Hata kabla ya kufika mbali hizi issue za mtu kutoa ahadi au kusema nafanya na nitafanya ndio muendelezo wa kupotea; inabidi kama nchi tuwe kabisa tuna long term plans Rais akifika pale anasema nitatekeleza DIRA na wala sio mambo ya ILANI za CCM sijui nani au nani atakayekuja kuja na yake; bali DIRA ya taifa ambayo tumejiwekea kama Taifa baada ya wadau kukaa kwa kushauriana na wenye nchi ni wapi tunataka kufika; zaidi ya hapo ni muendelea wa Miradi kuwa MIRADI (yaani Miradi ndio chanzo cha watu kupeana ulaji)
 
Ww pia mawazo Yako yamekaa kitapeli sana, ww hujawahi kumwona Samia kama tatizo.

Kuna kitu hutaki kutamka waziwazi lkn ww pia ni mnufaika wa Samia
hivi samia kua tatizo ni jambo hata la kujadili mkuu?

mawazo yangu ya kitapeli katika angle gani?
 
Hivi hii inji hakuna limchawi limoja lenye mihirizi yake likamalizana na huyu Maza aisee ,anabahati Babu yangu ameshadead ,nasema anabahati.
 
Kweli huko lindi aliahidi watu ataleta drone 6 zizuie wanyama kwa ujinga wangu wote hili lilikataa kabisa kukaa kichwani kama kweli taasis ya rais inaahidi hivi tumekwisha
Zile drone za kukamata ngiri wanaokula matikiti maji kwa kutumia wavu uliounganishwa na drone. Ndo hizo?
 
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi. Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha. Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.

Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.

Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
we are not kids… hizi local promises were made by every candidate, mwamba alishawahi kuuliza wamama wanataka walaji liwe wapi

Mdogo wangu kuna sehemu anakua extremist na inaonyesha he is severely depressed

Angetulia kidogo

He has lied too much bqsi tu

But Ana hoja na nia nzuri, his approaches haziko balanced
 
Back
Top Bottom