kama wamesema hivyo sawa,,, ila nachokilenga ni utatuzi wa muda mfupi wa kimkakatikimara gerezan na kivukoni zinafika mwezi wa 10 chini ya mwekezaj mpya
Naunga mkono hoja mkuuJuzi aliwahaidi Wana masasi kuwa wataleta umeme wa gesi kusini na kituo kimoja kitawekwa masasi.
Yani ishu ya kuweka kituo cha umeme masasi anatangazia raia na anataka watu washangilie.
Kuna muda Mungu anaadhibu watu kwa kuwaletea viongozi wabovu.
Kwenu watz kuwa na kiongozi wa aina hii ni adhabu kubwa sana mnnapitia kama taifa.
Polepole taratibu anazidi kuteka mioyo ya watanzania huyu jamaa ni Strategic sana.. na anajua kupangilia points vizuri sana.Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.
Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.
Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
Ww pia mawazo Yako yamekaa kitapeli sana, ww hujawahi kumwona Samia kama tatizo.sio fasta fasta, yeye yupo against na mama --- mama ni kweli anaweza kua mzinguaji
ila anachotaka kutuaminisha huyu ni kwamba tuungane kupambania maslahi ya nchi kwa kumchomoa mama, hapa ndo kwenye utapeli kwa sababu chama chao kimechangua awe mgombea wao iwe kwa halali au haramu ni shida yao wenyewe
watu amabo sio wa wadau wa ccm wamuunge mkono kwa tahadhari
Mafisadi yanawadanganya kazi na utu.Nimeshituka hii video 🤔. Sio AI kweli hii ?
View attachment 3479096
Kujenga Choo cha msikiti na kutuletea maji matukufu ya zamzam ni kitu kidogoKwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.
Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.
Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
Mama atakuwa kaona, atalifanyia kaziMafisadi yanawadanganya kazi na utu.
Hapo utu uko wapi mzee wa miaka 60 anaweza hizo hekaheka kukimbilia usafiri na kijana wa miaka 19?
hivi samia kua tatizo ni jambo hata la kujadili mkuu?Ww pia mawazo Yako yamekaa kitapeli sana, ww hujawahi kumwona Samia kama tatizo.
Kuna kitu hutaki kutamka waziwazi lkn ww pia ni mnufaika wa Samia
Miaka 4 ameshindwa ataweza leo?Mama atakuwa kaona, atalifanyia kazi
Zile drone za kukamata ngiri wanaokula matikiti maji kwa kutumia wavu uliounganishwa na drone. Ndo hizo?Kweli huko lindi aliahidi watu ataleta drone 6 zizuie wanyama kwa ujinga wangu wote hili lilikataa kabisa kukaa kichwani kama kweli taasis ya rais inaahidi hivi tumekwisha
Nilimnukuu vuzuri alisema "zakufukuza"Zile drone za kukamata ngiri wanaokula matikiti maji kwa kutumia wavu uliounganishwa na drone. Ndo hizo?
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi. Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha. Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole
we are not kids… hizi local promises were made by every candidate, mwamba alishawahi kuuliza wamama wanataka walaji liwe wapiKwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.