GE2025 Polepole: Samia anaahidi vitu vidogo vinavyoweza kufanywa na mkuu wa wilaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
upinzani usipoingia baada ya huyu mama , basi itachukua miaka mingi kupata fursa kama hii tena tena
Hautaxhukua, ccm team polepole watarudi, watqahangiliwa na lema na wenzake watabeba ndoo

Chakandumuz are very hard to learn new tricks

mimi Sina imani na watu kama polepole kabisa becquse they anaibuka kwenye ballot tu… why?
 
kwenye upinzani kuchukua nchi kete zangu naziweka 2030, ikitoea imemezekana 2025 (kitu ambacho ni unrealistic -- ila kama ikitokea ni jambo zuri)

kwenye kuibuka muda wa ballot, watanzania watatafakari wenyewe mbele ya safari muda huu kuelewana ni kazi ngumu sana
 
Kweli kabisa ,soko hata dayamondi wakimfuata si analijenga ndani ya miezi miwili?
 
Naunga mkono hoja Yako, Mungu anatuadhibu watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…