Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Baada ya kujiuzulu akafutwa kazi,!Write your reply...kwa maana hiyo ulifukuzwa kazi na kujiuzuru ilikua geresha tu
Anatafuta mkwanja aha 😆 😅Humphrey Polepole akizungumzia wito wa polisi kumtaka aende kuelezea tuhuma zake amesema mara baada ya kujiuzulu ubalozi amepata matokeo mabaya.
Akizungumza kwa njia ya mtandao amesema, aliwasiliana na watumishi wa serikali wakamwambia Rais Samia ameagiza kuwa afukuzwe kazi hivyo hatapata stahiki za kurudishwa nyumbani.
Japo amesema hana hofu juu ya hilo ameshangazwa na polisi kumtaka aripoti ikiwa hajapewa stahiki zake za kurudishwa nyumbani.
Anatafuta mkwanja aha 😆 😅
Naam! Ukiwaza tumbo na kurambaramba watawala uwezi kuchukua maamuzi aliyoyafanya mwambaMaisha alochagua pole pole yy na akili yake ndo wanayajua vizuri
Write your reply...kwa maana hiyo ulifukuzwa kazi na kujiuzuru ilikua geresha tu
Kwni si alisema yupo Tanzania? Imekuaje tena apewe hela za kurudi sehemu ambapo yupo.Humphrey Polepole akizungumzia wito wa polisi kumtaka aende kuelezea tuhuma zake amesema mara baada ya kujiuzulu ubalozi amepata matokeo mabaya.
Akizungumza kwa njia ya mtandao amesema, aliwasiliana na watumishi wa serikali wakamwambia Rais Samia ameagiza kuwa afukuzwe kazi hivyo hatapata stahiki za kurudishwa nyumbani.
Japo amesema hana hofu juu ya hilo ameshangazwa na polisi kumtaka aripoti ikiwa hajapewa stahiki zake za kurudishwa nyumbani.
Loh! Una uelewa mdogo kiasi hivho? Hata kitu kidogo namna hiyo unashindwa kuelewa?
Polepole alijiuzulu kazi. Akampelekea barua aliyemteua. Aliyemteua akakataa kujiuzulu kwake, akaagiza kuwa afukuzwe kazi ili kumkomoa. Kwa kujiuzulu, angelipwa stahiki zake. Sasa huyu kutokana na roho mbaya aliyo nayo, hakutaka alipwe chochote, hivyo akakataa kujiuzulu kwake, badala yake akaagiza afukuzwe, ili asilipwe. Madikteta wengi huwa wanafanya hivyo.
Mfanyakazi anayejiuzulu ndiyo humlipa mwajiri. Ila mwajiri anapomfukuza mfanyakazi, yeye mwajiri ndiyo humlipa mfanyakazi.Loh! Una uelewa mdogo kiasi hivho? Hata kitu kidogo namna hiyo unashindwa kuelewa?
Polepole alijiuzulu kazi. Akampelekea barua aliyemteua. Aliyemteua akakataa kujiuzulu kwake, akaagiza kuwa afukuzwe kazi ili kumkomoa. Kwa kujiuzulu, angelipwa stahiki zake. Sasa huyu kutokana na roho mbaya aliyo nayo, hakutaka alipwe chochote, hivyo akakataa kujiuzulu kwake, badala yake akaagiza afukuzwe, ili asilipwe. Madikteta wengi huwa wanafanya hivyo.
Ukijiuzulu huna stahiki, wewe ndiyo unamlipa mwajiri. Leta kifungu cha kanuni za Utumishi wa Umma hapa zinazosema ukijiuzulu unalipwa!!Loh! Una uelewa mdogo kiasi hivho? Hata kitu kidogo namna hiyo unashindwa kuelewa?
Polepole alijiuzulu kazi. Akampelekea barua aliyemteua. Aliyemteua akakataa kujiuzulu kwake, akaagiza kuwa afukuzwe kazi ili kumkomoa. Kwa kujiuzulu, angelipwa stahiki zake. Sasa huyu kutokana na roho mbaya aliyo nayo, hakutaka alipwe chochote, hivyo akakataa kujiuzulu kwake, badala yake akaagiza afukuzwe, ili asilipwe. Madikteta wengi huwa wanafanya hivyo.
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.Naam! Ukiwaza tumbo na kurambaramba watawala uwezi kuchukua maamuzi aliyoyafanya mwamba
Ana dili na wahuni waliotufanya hadi wewe unaingia na VPN humu jfHumphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili
Alijiuzuru kwanza, akafukuzwa kaziWrite your reply...kwa maana hiyo ulifukuzwa kazi na kujiuzuru ilikua geresha tu