Polepole: Serikali imekataa kunirudisha nyumbani halafu Polisi wanataka niripoti kwao

Polepole: Serikali imekataa kunirudisha nyumbani halafu Polisi wanataka niripoti kwao

Sidhani kama ishu ni pesa kama ambavyo naona wengi mmepalamia huko.

Pole pole knows much what the beats want na anakwenda na tune, wengine tubaki tu kupoteana
 
Humphrey Polepole akizungumzia wito wa polisi kumtaka aende kuelezea tuhuma zake amesema mara baada ya kujiuzulu ubalozi amepata matokeo mabaya.

Akizungumza kwa njia ya mtandao amesema, aliwasiliana na watumishi wa serikali wakamwambia Rais Samia ameagiza kuwa afukuzwe kazi hivyo hatapata stahiki za kurudishwa nyumbani.

Japo amesema hana hofu juu ya hilo ameshangazwa na polisi kumtaka aripoti ikiwa hajapewa stahiki zake za kurudishwa nyumbani.
Huyu jamaa ni kichwa na yupo vizuri sana ni bahati mbaya amezaliwa nchi ya wajanja wajanja huyu ni mtu aliyenyooka na mara nyingi watu wa hivi huwa na msimamo vibaya sana.
Ni mtu mzuri ambaye kama tungeekuwa na nchi nzuri angetufaa sana bahati mbaya mdo hivyo tena.
 
Loh! Una uelewa mdogo kiasi hivho? Hata kitu kidogo namna hiyo unashindwa kuelewa?

Polepole alijiuzulu kazi. Akampelekea barua aliyemteua. Aliyemteua akakataa kujiuzulu kwake, akaagiza kuwa afukuzwe kazi ili kumkomoa. Kwa kujiuzulu, angelipwa stahiki zake. Sasa huyu kutokana na roho mbaya aliyo nayo, hakutaka alipwe chochote, hivyo akakataa kujiuzulu kwake, badala yake akaagiza afukuzwe, ili asilipwe. Madikteta wengi huwa wanafanya hivyo.
Halafu nimegundua kitu kimoja.. madikteta wengi huwa hawana akili kichwani.. wamefeli kidato cha nne.. so how do you reason with a brainless dumb?.. pole pole ana hoja, asikilizwe
 
Back
Top Bottom