Polepole: Serikali imekataa kunirudisha nyumbani halafu Polisi wanataka niripoti kwao

Sidhani kama ishu ni pesa kama ambavyo naona wengi mmepalamia huko.

Pole pole knows much what the beats want na anakwenda na tune, wengine tubaki tu kupoteana
 
Huyu jamaa ni kichwa na yupo vizuri sana ni bahati mbaya amezaliwa nchi ya wajanja wajanja huyu ni mtu aliyenyooka na mara nyingi watu wa hivi huwa na msimamo vibaya sana.
Ni mtu mzuri ambaye kama tungeekuwa na nchi nzuri angetufaa sana bahati mbaya mdo hivyo tena.
 
Halafu nimegundua kitu kimoja.. madikteta wengi huwa hawana akili kichwani.. wamefeli kidato cha nne.. so how do you reason with a brainless dumb?.. pole pole ana hoja, asikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…