GE2025 Polepole: Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni, Na wewe watu walikuwa wanatekwa ulikuwa unafanya nini? una maelezo ya kutosha?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi lazima mkipate cha mtema kuni ili sasa hivi muweze kuzuia, ndiyo mnatusukuma tuseme na wakupata cha mtema kuni tunaanzia watendaji mpaka viongozi wetu. Na wewe watu walikuwa wanatekwa ulikuwa unafanya nini? una maelezo ya kutosha?"

Balozi Humphrey Polepole akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 18, 2025 mbashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.

​
 
Mimi naona anaruka ruka tu mpaka Sasa bado sijasikia hoja yake ya msingi ,
 
.
Wanabodi

Somo la leo ni somo la kitu kinachoitwa vicarious liability. Haya ni mahusiano ya uwajibikaji wa kisheria yanayoitwa fiduciary relationship, yaani uhusiano wa uwajibikaji Kama mke na mume, mzazi na mtoto, daktari na mgonjwa, mwalimu na mwanafunzi, wakili na mteja wake, kiongozi na waongozwa!.

Hii fiduciary relationship inampa uwajibikaji wa kisheria wahusika hao, ikiwemo mzazi kuhukumiwa kwa makosa ya mtoto wake wa umri wa chini ya miaka 14.

Sasa kuna vitendo vingi vya ukiukwaji wa haki yakiwemo utekaji, utesaji na mauaji mengi yanayotokea na kuwahusisha watu wasiojulikana, kiukweli sio wasiojulikana wote ni wasiojulikana kweli, kuna baadhi ya mauaji yanafanywa na watu "wasiojulikana" kumbe kiukweli watu hao sio "wasiojulikana" bali ni 'wasiojulikana'.

Hivyo vitendo vyovyote vinavyofanywa na 'wasiojulikana' kwa kujifanya ni "wasiojulikana", then anayewatuma ana wajibika nao vicariously.
P
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi lazima mkipate cha mtema kuni ili sasa hivi muweze kuzuia, ndiyo mnatusukuma tuseme na wakupata cha mtema kuni tunaanzia watendaji mpaka viongozi wetu. Na wewe watu walikuwa wanatekwa ulikuwa unafanya nini? una maelezo ya kutosha?"

Balozi Humphrey Polepole akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 18, 2025 mbashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Hiki alichokisema Polepole, ndicho mimi nilichosema hapa, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe hicho cha mtema kuni, ndio hii vicarious liability!
P
 
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi lazima mkipate cha mtema kuni ili sasa hivi muweze kuzuia, ndiyo mnatusukuma tuseme na wakupata cha mtema kuni tunaanzia watendaji mpaka viongozi wetu. Na wewe watu walikuwa wanatekwa ulikuwa unafanya nini? una maelezo ya kutosha?"

Balozi Humphrey Polepole akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 18, 2025 mbashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Sema Keybord worrior, nyie ndio wale waoha kuliko hata kunguni na mna ujasiri wa kwenye kerybord tu
 
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi lazima mkipate cha mtema kuni ili sasa hivi muweze kuzuia, ndiyo mnatusukuma tuseme na wakupata cha mtema kuni tunaanzia watendaji mpaka viongozi wetu. Na wewe watu walikuwa wanatekwa ulikuwa unafanya nini? una maelezo ya kutosha?"

Balozi Humphrey Polepole akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 18, 2025 mbashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Tunakwenda vizuri.
 
Back
Top Bottom