GE2025 Polepole: Tarehe 29 sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupiga kura kwa sababu hakuna Uchaguzi ni kiini macho

GE2025 Polepole: Tarehe 29 sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupiga kura kwa sababu hakuna Uchaguzi ni kiini macho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuanze na sheria kwanza.
Mifumo ikisomana wkt nchi nzima watu wamesusia kufika kwenye vituo kupiga..mifumo itafel tu.
Hivi unafikiri wanamtandao wanajali sheria, au hata aibu?
 
wanamtandao
downloadfile-2.jpg
 
Naikumbuka sana ile episode alipoweka dole, nilijiuliza hivi ilikuwa ni bahati mbaya au makusudi, nilijuwa ita watu wata screenshot tuu.
Yeye mwenyewe alijishtukia hakuendelea tena..
Kuingiza kidole kwenye mfumo ,kilibaki nje.
 
Yeye mwenyewe alijishtukia hakuendelea tena..
Kuingiza kidole kwenye mfumo ,kilibaki nje.
Hiyo analogy inafikirisha.

Nilishangaa alipokubali kuchukua ubalozi, maana ile shule yake ya uongozi ilikuwa ni spana ya nguvu.

Nilisikia akiwa Malawi, alikuwa anakuja Tanzania kila wiki. Walipompeleka Cuba, ni wazi walitaka asiwe karibu na jikoni, kunusa kinachopikwa.

Nilitegemea ajiuzulu, kwasababu ni stand up guy ila aliaendelea, mpaka majuzi alipotuma ile barua mtandaoni, nikajua naam, saa imewadia.
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom