Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Speech yako ya mwisho haijaisha unaleta nyingine? Unawabandika, bandua we unatumia Mkongo? Bado tunajitahidi kusema wewe Muongo na kukuzushia hatujamaliza unaleta tena drones nyingine kutaka lipua vinu vyetu vya Nyuklia?
Waache watanzania kwa sasa wanapokea tshirt na khanga wanapokea 5,000 wanafaidi mama anawawezesha kupata 5,000 na nguo. Waache. Wanapata na kofia.
Mchawi wetu na wenzie tunawajua watanzania wamezoea kurogwa na kuumwa waache watafia mbele.