Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
Huyu familia yake inalipwa kodi za wananchi mpaka dawa ya meno tunamnunulia.Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.
Nchi haiko Salama watu wanatekwa wanauawa wanabambikiwa kesi za uongo wanaporwa luzuku na manyanyaso mengi ikiwemo kuzuia mikutano kwa njia haramu za kishetani, Tanzania ya sasa hakuna maendeleo pesa zote za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kuiba kura kugawana na mbowe Dalali wa kuuza watu toka chadema kwenda ccm ambayo inawasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm kinachoigharimu ccm kwa mabilioni ya pesa , kwa kifupi tu ccm inatumia pesa nyingi kwa mambo ya hovyo kuliko maendeleoTusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
Pesa inayotumika kufanya mambo ya hovyo kwa sasa ni kubwa kuliko pesa inayoelekezwa kwenye maendeleo, ibilisi wa ccm hawana huruma na pesa za walipa kodi, hospital hazina Dawa, mshule hayana madawati vyoo walimu hawana nyumba za kuishi lakini wanachukua mabilioni kwenda kuwapa Chauma Ubwabwa wafanye Siasa za maji takaHuyu familia yake inalipwa kodi za wananchi mpaka dawa ya meno tunamnunulia.
Naunga mkono hoja. Ila Chadema hawajawa restricted, ni wamegoma wenyewe kusaini kanuni za uchaguzi, wakikubali hata kusaini, hata leo, Lissu kesho anaachiliwa anaingia ngomani , ngoma inogile!. GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguziTwende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema kwa sasa ni kubwa kuliko bajeti ya maendeleo na kama ccm wangekuwa wameziwekeza kwenye maendeleo mda huu wasingekuwa wanahaha kufanya uchakachuaji kupitia NIDA na kuwatesa chademaNaunga mkono hoja
P
Mbowe na chauma ubwabwa wamekula mabilioni ambayo yangeweza kujenga hospital vyuo mashule kila kata sasa unga mkono hoja za ufujaji wa pesa huko ccm kwa mambo haramu ya kishetaniNaunga mkono hoja
P
Paskal mayala yeye yupo na chauma ubwabwa ataandamana kweli?KWA NAMNA POLEPOLE ANAVYOTUFUMBUA MAMBO KUHUSU MBINU ZA CCM KYIBA KURA,TINA SABABU YA KUKINUKISHA OKTOBA.BADALA YA OKTOBA TUNATIKI SASA NI OKTOBA TUNAKINUKISHA.
Inasikitisha sana unalijua jema ni lipi na baya ni lipi lakini unajitoa ufahamu. Mungu awashughurikie nyieNaunga mkono hoja. Ila Chadema hawajawa restricted, ni wamegoma wenyewe kusaini kanuni za uchaguzi, wakikubali hata kusaini, hata leo, Lissu kesho anaachiliwa anaingia ngomani , ngoma inogile!.
P
Uchaguzu upi!.Uchaguzi ambao Tume,ccm na Nida mifumo imeunganishwa pamoja!.Machawa shirikini wenyeweNaunga mkono hoja. Ila Chadema hawajawa restricted, ni wamegoma wenyewe kusaini kanuni za uchaguzi, wakikubali hata kusaini, hata leo, Lissu kesho anaachiliwa anaingia ngomani , ngoma inogile!. GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
P
Mleta mada ni taahira.Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
UWANJA wa kucheza uko sawa au umeinama?..Naunga mkono hoja. Ila Chadema hawajawa restricted, ni wamegoma wenyewe kusaini kanuni za uchaguzi, wakikubali hata kusaini, hata leo, Lissu kesho anaachiliwa anaingia ngomani , ngoma inogile!. GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
P
Wewe mzee dingi wenu ndiye aliyetuachia huu msala aliona Katiba mbovu na hakuchukua hatua kuibadilisha kabla ya kung'atukaTusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.