Polepole: Tunaweza kuwa na mitungi ya 2,000 kama Cuba, lakini tuna viongozi wabaya hawaelewi maslahi mapana ya nchi yetu

Polepole: Tunaweza kuwa na mitungi ya 2,000 kama Cuba, lakini tuna viongozi wabaya hawaelewi maslahi mapana ya nchi yetu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Polepole: Tunaweza kuwa na mitungi kwa bei ya 2000 kama Cuba, lakini tuna viongozi wabaya awaelewi maslai mapana ya nchi yetu.


​
 
Maslahi mapana ya nchi ni pamoja na huduma muhimu kwa wananchi kupatikana kwa bei nafuu
 
Yupo live muda huu, na muds huo huo bado dakika 8 game ya barca ianze. Sjui inakuaje hapa
 
Hata kiswahili hujui,narudia tena kuhoji elimu yako
Nilikujibu ni chekechea, we msomi hujui hata Polepole alienda Cuba kipindi gani?

Mama yenu alimuona Polepole ni threat kwake, kumbe alikuwa akikamalisha ule msemo" kumpiga teke chura kumuongezea mwendo"
 
Back
Top Bottom