Wao ndio wameanza ubaguzi, hivyo likianza kushika kasi hawana budi kuwafukuza.CCM itawafukuza mwenyekiti wa CCM na katibu mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ndio wameanza ubaguzi, hivyo likianza kushika kasi hawana budi kuwafukuza.CCM itawafukuza mwenyekiti wa CCM na katibu mkuu?
Kwa kuwa umeamua kuwa msemaji wake, lete hivyo vielelezo jukwaani. Wewe ni TISS? Wajinga ninyi mkishakosa vya maana vya kuwaambia wananchi mnaleta hoja za kiwendawazimu za uraia. Kwani mandege, madaraja na makorokoro mengine mliyofanya hayatoshi kuwashawishi waTZ wawachague?Anavyo ndo maana tumempa Urais.Nyie ni TISS ?mpaka amepewa Urais Akili kubwa imejiridhisha yy ni raia halisi wa Tanzania huu ndo mchango wangu wa mwisho kwenye hili jambo la uraia, ila nakuasa Let us celebrate our dissimilazrities.
Mi nadhani ni yule mnyarwanda anayedai msukuma!Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Umekariri mkuu ... hivi unamjua vizuri Tundu A. Lissu au unamsikia sikia tuwewe akili huna ccm wameshashinda kabla hata ya uchaguzi...hata watanzania wote wapigie chadema ..hujui nchi inaendeshwa vipi
j
Mtuanza na mh raisKomredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Baba yake alitokea BeninYeye polepole ni raia wa wapi, tuanzie hapo kwanza..maana anaonekana ana sura ya kitusi.