Salaam!
Tanzania nchi ya amani sana, yaani tumekutana hapa njiani, hatufahamiani, lakini tunajadili press ya Leo bila woga wowote.
Tumejaribu kuulizana wapi hasa alitokea Mh Polepole, alizaliwa wapi, wazazi wake kina nani, ni mtu wa wapi, Kila mtu asema lake.
Mtu mmoja hapa amedai kuwa Polepole kiswahili chake ni Cha Pwani Tena Zanzibar, na kwakuwa ni mwogeleaji mzuri, mtu huyu ameshauri njia nzuri ya kuirejesha upya ccm ni kuzamisha jahazi, Pole Pole atapiga mbizi na kuwahi ufukweni kuunda jahazi upya akiwaacha wahuni wakizama majini.
Watu wote naona wamekubaliana na hoja ya mdau huyu kwa kuonyesha nyuso za tabasamu.
Ni hayo tu.