Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!

Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!

wakati wa magu

Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!
No ya simu ndo big deal? Wakati anawaita aliendesha gari la nani si hao hao mabeberu?

Hoja ya mabeberu Kwa Sasa imepitwa na wakati. Ilitufaa enzi za ukombozi. Sasa hivi kiongozi wa Africa akibanwa anasingizia mabeberu!
 
Hapo hakuna la maana,mtataga safari hii
alikuwa anasema wakati wa Magu tunatetea mabeberu sasa kwanini asiende China yupo Miami Florida na kudanganya watu yupo Tanzania? Tupiganie mifumo sio chama au sijui wahuni
 
Hata Jiwe alikuwa anatumia twitter wakati huo huo akiwaita mabeberu.
 
unatumia vifaa vyao alafu unakuja kulalamika kuwa uwapendi
 
Hata nyie mnawaita mabeberu na bado kutwa kucha mnaenda na bakuli kuomba msaada wa matundu ya choo
 

Tatizo ni mifumo fool! watu wakiwa madarakani wanajisahau tulikuwa tunasema haya haya na yametokea. wakati ule alifikiria atakuwepo madarakani maisha yake yote leo Dada yake anashikwa kama mbuzi!. Tupiganie mifumo sio wahuni sijui utamaduni non sense! tatizo ni mifumo ndiyo maana leo hayu China yupo USA mmana Chana wangemrudisha kwa Polisi Tanzania
 
Wakati wa Magufuli

Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!
Hoja haina mashiko..

Hata njia alizotumia kutufikishia ujumbe wa leo zimeletwa na mabeberu...
 
Back
Top Bottom