GE2025 Polepole unapomshauri Samia aseme nini kwenye kampeni, unatuona sisi Watanzania ni mazuzu?

GE2025 Polepole unapomshauri Samia aseme nini kwenye kampeni, unatuona sisi Watanzania ni mazuzu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kabisa mkuu,

Kawapoteza watu maboya kujiuzulu ubalozi,


Watu hawastuki mzalendo anajiuzulu ubalozi miezi 4 kabla ya uchaguzi, na muda anaojiuzulu ibalozi ndo muda muafaka ws kutafuta wagombea ndani ya chama.


Solution yoyoyte isiyo husisha kuiondoa ccm sio solution.

Ukiachana na haya ulioyaandika na ukijikita kwenye ushauri wake alioutoa,
Najaribu kupata point Yako lakini nashindwa.


Kiukweli hata mimi nimejaribu kumwelewa mtoa mada nimeshindwa! Anasahau kujiuliza ni kwa nini rais hasemi yale anayoshauri polepole!
Je sio hitaji la wananchi?
Kama yana maslai kwa wananchi kwa nini hayaongelewi?
 
Sijawahi amini kwamba Polepole anaweza angusha ngome ya CCM. Sisemi hawezi ila nione kwanza impact yake ndo nitaamini. Until then I remain undecided about the impact of his movement against the so called wanamtandao & mafisadi.
 
Wewe kenge madoa umepata wapi ujasiri wa kunionya?
Acha ujinga, mimi sijakuonya bali nimekwambia ukweli. Fanya yako waachie chama chao,ila kama bila kuitaja Chadema hupati malipo basi uko sahihi kwani hakuna anayetaka kufa njaa.
 
Back
Top Bottom