Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
pia hata wewe utakuwa unatatizo sheenzi ya nini uliyoiandika pale kama hizo ndo hoja taifa kwisha kabisa
BONGO ndio nchi pekee wataalam wanabishiwa na wapiga porojo mitandaoni.
polepole ni mwanaharakati aliyejaliwa uwezo wa kutoa hoja hadi ukawa convinced kabisa, hata kama hoja ni ya kupikwa. bahati mbaya sana sijajua kabila lake, lakini ni mwanadamu anayependa sana sifa na kuonekana mbele za watu, ni mtu ambaye anajua hakuna mwenye uwezo au akili zaidi yake na anapoongea huwa anajiona yeye kama ndio final reference hapa duniani. kiburi hiki ndio huwa kinanifanya nibadilishe stesheni ya tv akiwa anaongea, anakera sana sana kumsikiliza.
nakumbuka kuna mdahalo mmoja ulishawahi kufanyika nkruma udsm wakawa wamemsahau kuwa msemaji wa mwanzoni na mwezie yule wa zenji, walipompa mike mwishoni alitaka kugoma asiendelee akatoa malalamiko kuwa amesahauliwa manake amekuja kupewa mwishoni wakati ambao hataongea mda mrefu na watu wakamwona kwenye tv. kijamaa kinakera sana sana.
nadhani we mwenyewe nafsi yako inakushangaa unayokuj kuyapost....anywei am here to educate sio kubishana na watu kama wewe....umeelewa ndio maana umeishia kutukana bila kutoa hoja yoyote
Sidhani kama issue ni hoja....tell your other dog aache kukushabikia kipumbavu.... very short minded....
chuki zako tu ila siku moja utaelewa tu.
WEWE NDO DOG AND NIN-COMPOOP USIETAKA KUKUBALI UKWELI WA MAMBO!! Khaaa
Dah....ndugu uko kwenye heat au? Siwezi kukusaidia....
View attachment 238451
Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe
KUWA MPOLE KAKA UKWELI NAJUA UMEKUUMA BAADA YA WATU KUMWONGELEA HUYO JAMAA. Hahahah
kuna ukwelu hapo??? du kweli hatar kama nao huo ni kweli haya ngoja tufunike kombe. halafu hiyo hahahah inawakilisha nini ntakosea nikitaka kujua jinsia yako? samahani lakin kama nimekosea
😛lane: WEKA HOJA ACHA MBWEMBWE HUMU NDANI, MI NAKUPA DOZI TUU MPAKA UTAELEWA TU Hahahahha
HAYAKUHUSU, JIBU HOJA KAMA UMEISHIWA PUMZIKA AU OSHA VYOMBO ULIVYOLIA UBWABWA JANA UCKU HAPO KWENU!!! Hahahaha
bad enough sijaona hoja yako hata moja.... Weka tuichangie bi dada.
hapa kuna kazi full mipasho ok nashukuru
UTAJIJU!! Hahahaha
Naona watu wa pro-katiba pendekezwa wanatoka mapovu...kwanini msijibu hoja kwa hoja? Kinachofanywa na wajumbe wa iliyokuwa tume ya katiba ni kulinganisha aya kwa aya kati ya vifungu vya katiba ya Warioba (yenye maoni yasiyochujwa ya wananchi) na hii katiba pendekezwa ili kuona penye ubaya na wema - kwanini nanyi msifanye hivyo?
I'mni kweli watanzania sio wapuuzi ila wewe ni mpuuzi. unatetea ujinga
View attachment 238451
Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe