Polepole utakuwa umechanganyikiwa

Polepole utakuwa umechanganyikiwa

pia hata wewe utakuwa unatatizo sheenzi ya nini uliyoiandika pale kama hizo ndo hoja taifa kwisha kabisa

kuwa na subira kaka we muelimishe ili akuelewe kuliko kurudia tuc na wewe hapo nyote mnaonekana vilaza!!
 
polepole ni mwanaharakati aliyejaliwa uwezo wa kutoa hoja hadi ukawa convinced kabisa, hata kama hoja ni ya kupikwa. bahati mbaya sana sijajua kabila lake, lakini ni mwanadamu anayependa sana sifa na kuonekana mbele za watu, ni mtu ambaye anajua hakuna mwenye uwezo au akili zaidi yake na anapoongea huwa anajiona yeye kama ndio final reference hapa duniani. kiburi hiki ndio huwa kinanifanya nibadilishe stesheni ya tv akiwa anaongea, anakera sana sana kumsikiliza.

nakumbuka kuna mdahalo mmoja ulishawahi kufanyika nkruma udsm wakawa wamemsahau kuwa msemaji wa mwanzoni na mwezie yule wa zenji, walipompa mike mwishoni alitaka kugoma asiendelee akatoa malalamiko kuwa amesahauliwa manake amekuja kupewa mwishoni wakati ambao hataongea mda mrefu na watu wakamwona kwenye tv. kijamaa kinakera sana sana.

chuki zako tu ila siku moja utaelewa tu.
 
nadhani we mwenyewe nafsi yako inakushangaa unayokuj kuyapost....anywei am here to educate sio kubishana na watu kama wewe....umeelewa ndio maana umeishia kutukana bila kutoa hoja yoyote

Sidhani kama issue ni hoja....tell your other dog aache kukushabikia kipumbavu.... very short minded....
 
View attachment 238451

Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe

kwani masuala ya katiba yana uhusiano gani na kabila la Humphrey?
 
KUWA MPOLE KAKA UKWELI NAJUA UMEKUUMA BAADA YA WATU KUMWONGELEA HUYO JAMAA. Hahahah

kuna ukwelu hapo??? du kweli hatar kama nao huo ni kweli haya ngoja tufunike kombe. halafu hiyo hahahah inawakilisha nini ntakosea nikitaka kujua jinsia yako? samahani lakin kama nimekosea
 
kuna ukwelu hapo??? du kweli hatar kama nao huo ni kweli haya ngoja tufunike kombe. halafu hiyo hahahah inawakilisha nini ntakosea nikitaka kujua jinsia yako? samahani lakin kama nimekosea

HAYAKUHUSU, JIBU HOJA KAMA UMEISHIWA PUMZIKA AU OSHA VYOMBO ULIVYOLIA UBWABWA JANA UCKU HAPO KWENU!!! Hahahaha
 
Naona watu wa pro-katiba pendekezwa wanatoka mapovu...kwanini msijibu hoja kwa hoja? Kinachofanywa na wajumbe wa iliyokuwa tume ya katiba ni kulinganisha aya kwa aya kati ya vifungu vya katiba ya Warioba (yenye maoni yasiyochujwa ya wananchi) na hii katiba pendekezwa ili kuona penye ubaya na wema - kwanini nanyi msifanye hivyo?
 
HII INAONYESHA JINSI GANI USIVYOJUA MAMBO YA KATIBA PENDEKEZWA, NANI KAKWAMBIA WARIOBA ANA KATIBA??? WARIOBA ALIANDIKA MAPENDEKEZO YA KATIBA NA SIO KATIBA, CHOMBO CHENYE MAMLAKA YA KUANDIKA KATIBA YA NCHI HII NI LILE LILILOKUWA BUNGE MAALUM LA KATIBA TU NA SIO CHOMBO KINGINE WEWE!! KUMBE WALA HUJUI HATA MAANA YA KATIBA NA NANI ANAMAMLAKA YA KUANDIKA WE UNASHABIKIA TU MAMBO. Jipange tena mkuu
 
ni kweli watanzania sio wapuuzi ila wewe ni mpuuzi. unatetea ujinga
I'm

MATAMANYA NA KUNDI LAKO MSIWE WAVIVU WA KUFIKIRI BHANA MBONA MAMBO YAKO WAZI KATIBA HAIBEBI KILA KITU MNACHOFIKIRI KWENYE VICHWA VYENU,MWISHOWE MTATAKA IWAWEKEE KIFUNGU CHA WAPI MPATE HELA YA MBOGA!!!! TUMIENI AKILI ZENU VIZURI BUNGE LINA KAZI YAKE KUTUNGA SHERIA AMBAZO ZITATUMIKA KUSIMAMIA MASUALA MBALIMBALI.

MASUALA YA WAZEE YAMEAINISHWA VIZURI MLITAKA COMMITMENT ILIYOKAAJE? MLITAKA KATIBA ISEME WATAPEWA MAGODORO, CHAKULA NA NGUO? FIKIRINI SAWASAWA,KATIBA NI SHERIA MAMA NA BAADA YA HIYO HUJA ZINGINE CHINI YAKE ZISIZOKINZANA NA SHERIA MAMA NA HUKO NDIKO MAMBO MENGINE HUINGIZWA ACHENI KUBURUZWA NYIE VILAZA.
 
View attachment 238451

Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe

kada wa ccm
 
Back
Top Bottom