masumbuko dogo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 456
- 118
mleta hoja matako
Katiba pendekezwa inawachapa wenyewe....wameondoa vipengele vya Warioba...sasa imemchapa WASSIRA kwa kufanywa komedy...kafunga tenge koti lake.
Dah....ndugu uko kwenye heat au? Siwezi kukusaidia....
HII INAONYESHA JINSI GANI USIVYOJUA MAMBO YA KATIBA PENDEKEZWA, NANI KAKWAMBIA WARIOBA ANA KATIBA??? WARIOBA ALIANDIKA MAPENDEKEZO YA KATIBA NA SIO KATIBA, CHOMBO CHENYE MAMLAKA YA KUANDIKA KATIBA YA NCHI HII NI LILE LILILOKUWA BUNGE MAALUM LA KATIBA TU NA SIO CHOMBO KINGINE WEWE!! KUMBE WALA HUJUI HATA MAANA YA KATIBA NA NANI ANAMAMLAKA YA KUANDIKA WE UNASHABIKIA TU MAMBO. Jipange tena mkuu
View attachment 238451
Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe
Wewe ndio umechanganyikiwa naona!
WEKA HOJA WEWE ACHA USHAMBA!! Lol
Hoja ya nini unamuona alieleta uzi ni mzima kweli?
YULE NI KIBARAKA TUU WALA USIMSHANGAE NA NI MCHUMIATUMBO TUU KWANI WE HUJAMJUA?? NI LIJITU MOJA LENYE KUPENDA SIFA NA KUWADHARAU WENZIE, HAFAI KABISAA HATA MIMI SILIPENDI HILO LIJITU. Khaa
View attachment 238451
Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe
ni kweli watanzania sio wapuuzi ila wewe ni mpuuzi. unatetea ujinga
hebu acha kuzalilisha utaalamu wa wengine.
hiyo haki unayoishangilia imewekwa kwenye kipengele ambapo its a right which you can not enforce before the eyes of law.
yani ni haki iliyotolewa kwa mkono wa kulia na kupokonywa kwa mkono wa kushoto at the same time.
Jaribu kuwa na tabia ya kujisomea au uwe unauliza watu wenye tabia ya kujisomea.
We Min Kabang nini? Mbona unalipuka kama baruti mgodini, afu unajiita mchambuzi ha ha ha labda wewe ni mchambuzi wa tumbo,huku umepotea njia!TAnzania bila KAtiba ya 1977 isingekua hapa!kwa busara ya watanzania na mabadiliko yaliyokua yanaendelea nchini wakaona ni vyema kuwa na katiba mpya itakayoreplace ya mwaka 1977 sasa wewe na umburula wako unapayuka na maneno yako ya kuungaunga "its a right which you can not enforce before the eyes of the law" duu kweli kwa dharau hii uliyoionyesha dhidi ya wtz wanaosubiri kuipigia kura katiba wewe ni buruyang!!,
ni heri mjinga anayejaribu kutumia ujinga wake mbele ya wenye akili kuliko wenye akili ambao akili zao wamezikalia na kisha kuanza kimlalamikia mjinga kwa ujinga wake.
Jamani hebu tujadiliane kwa hoja hapa jf,nadhani ni vzr tukawa tayari kujifunza sio kuleta hoja na kuanza matusi sio vzrni kweli watanzania sio wapuuzi ila wewe ni mpuuzi. unatetea ujinga
HAIJALISHI UWE CCM AU CHADEMA HAPA HATUKO KUANGALIA MAMBO YA VYAMA NAOMBA UELEWE HIVYO, PIA SUALA LA WEWE KUPIGA KURA YA HAPANA HAPA SI MAHALA PAKE KWANI SUALA LA KURA NI SIRI YA MTU, JE MI NITAJUAJE KAMA UTAPIGA KURA YA HAPANA AU NDIYO? HIYO NI SIRI YAKO, TUKO HAPA KUELIMISHANA JUU YA UZURI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, PIA UMETAJA MAMBO YA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR NENDA KASOME KATIBA INAYOPENDEKEZWA SURA YA SABA(MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO), IBARA YA 74-(1)-(4), Natumaini nimekujibu vema. Karibu!!
Mleta hoja matako
mm hio nishaisoma yote si mara moja, yote yalioelezwa hayawezi kutekelezeka bila kupiga magoti tanganyika.
na haijaondoa ttz la tanganyika kufanya yake kwa koti la muungano na zanzibar kuonekana kama mgeni au koloni.
maswala ya kitaalamu hujibiwa kitaalamu.
huu uharo wako jadili na misukule wenzako.