Polepole utakuwa umechanganyikiwa

Polepole utakuwa umechanganyikiwa

Katiba pendekezwa inawachapa wenyewe....wameondoa vipengele vya Warioba...sasa imemchapa WASSIRA kwa kufanywa komedy...kafunga tenge koti lake.
 
Katiba pendekezwa inawachapa wenyewe....wameondoa vipengele vya Warioba...sasa imemchapa WASSIRA kwa kufanywa komedy...kafunga tenge koti lake.

Masumbuko acha kusumbuka inaelekea hujui mada inasemaje ndio maana unaokoteza maneno afu unayaweka humu,usiwe kilaza tumia akili,jifunze kusoma na kuelewa nilitegemea utakuja na mambo unayofikiri wewe yametolewa afu tupambane kwa hoja sasa wewe unakua kama bata aliyeingia sebuleni.
 
Dah....ndugu uko kwenye heat au? Siwezi kukusaidia....

Hashycool, huna uwezo wa kudebate humu ndani jiondoe mapema!na unaonekana wewe ni mzinzi afu unataka kuleta michango yako ya uzinzi humu ndani toka zako na akili yako ya popo.
 
HII INAONYESHA JINSI GANI USIVYOJUA MAMBO YA KATIBA PENDEKEZWA, NANI KAKWAMBIA WARIOBA ANA KATIBA??? WARIOBA ALIANDIKA MAPENDEKEZO YA KATIBA NA SIO KATIBA, CHOMBO CHENYE MAMLAKA YA KUANDIKA KATIBA YA NCHI HII NI LILE LILILOKUWA BUNGE MAALUM LA KATIBA TU NA SIO CHOMBO KINGINE WEWE!! KUMBE WALA HUJUI HATA MAANA YA KATIBA NA NANI ANAMAMLAKA YA KUANDIKA WE UNASHABIKIA TU MAMBO. Jipange tena mkuu

Ha ha..haya ndiyo ninayoyaita mapovu. Badala ya kujibu hoja za msingi.
 
View attachment 238451

Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe

Wewe ndio umechanganyikiwa naona!
 
Matatizo ya DIVISION 5 ndo haya,hata kusikia wala kuona hawaoni,wewe umeliona hilo tu,timu B7 FC inazidi kukua
YULE NI KIBARAKA TUU WALA USIMSHANGAE NA NI MCHUMIATUMBO TUU KWANI WE HUJAMJUA?? NI LIJITU MOJA LENYE KUPENDA SIFA NA KUWADHARAU WENZIE, HAFAI KABISAA HATA MIMI SILIPENDI HILO LIJITU. Khaa
 
View attachment 238451

Hivi huyu dogo anaona sisi vilaza hatuelewi kuchambua au hizo hapo haki za wazee hebu tuzifananishe na hiyo yake anayoisema haikuwepo....mbaya zaidi unamtolea mfano bibi yako mbn unamdhalilisha wewe tena kikubwa taifa ibara ya 58 kifungu cha mwisho kabisa taifa limejicommit kuwatetea wazeee sheeenzi watanzania sio wapuuzi...we dogo kabila gan wewe

hebu acha kuzalilisha utaalamu wa wengine.
hiyo haki unayoishangilia imewekwa kwenye kipengele ambapo its a right which you can not enforce before the eyes of law.
yani ni haki iliyotolewa kwa mkono wa kulia na kupokonywa kwa mkono wa kushoto at the same time.
Jaribu kuwa na tabia ya kujisomea au uwe unauliza watu wenye tabia ya kujisomea.
 
ni kweli watanzania sio wapuuzi ila wewe ni mpuuzi. unatetea ujinga

Kwa taarifa yako watanzania wangekua na akili kama yako nchi hii isingekuwepo,nchi hii itaendelea kudumu licha ya ujinga unaouongea maana walioupande wa ustawi wa TAnzania ni wengi kuliko wewe mwenye akili kama roundabout.
 
hebu acha kuzalilisha utaalamu wa wengine.
hiyo haki unayoishangilia imewekwa kwenye kipengele ambapo its a right which you can not enforce before the eyes of law.
yani ni haki iliyotolewa kwa mkono wa kulia na kupokonywa kwa mkono wa kushoto at the same time.
Jaribu kuwa na tabia ya kujisomea au uwe unauliza watu wenye tabia ya kujisomea.

We Min Kabang nini? Mbona unalipuka kama baruti mgodini, afu unajiita mchambuzi ha ha ha labda wewe ni mchambuzi wa tumbo,huku umepotea njia!TAnzania bila KAtiba ya 1977 isingekua hapa!kwa busara ya watanzania na mabadiliko yaliyokua yanaendelea nchini wakaona ni vyema kuwa na katiba mpya itakayoreplace ya mwaka 1977 sasa wewe na umburula wako unapayuka na maneno yako ya kuungaunga "its a right which you can not enforce before the eyes of the law" duu kweli kwa dharau hii uliyoionyesha dhidi ya wtz wanaosubiri kuipigia kura katiba wewe ni buruyang!!,
 
maswala ya kitaalamu hujibiwa kitaalamu.
huu uharo wako jadili na misukule wenzako.
 
ni heri mjinga anayejaribu kutumia ujinga wake mbele ya wenye akili kuliko wenye akili ambao akili zao wamezikalia na kisha kuanza kimlalamikia mjinga kwa ujinga wake.

usilete mafumbo hapa,huu sio muda wa mafumbo go straight to the point ueleweke kama huwezi nenda kafundishe mashairi na methali.
 
HAIJALISHI UWE CCM AU CHADEMA HAPA HATUKO KUANGALIA MAMBO YA VYAMA NAOMBA UELEWE HIVYO, PIA SUALA LA WEWE KUPIGA KURA YA HAPANA HAPA SI MAHALA PAKE KWANI SUALA LA KURA NI SIRI YA MTU, JE MI NITAJUAJE KAMA UTAPIGA KURA YA HAPANA AU NDIYO? HIYO NI SIRI YAKO, TUKO HAPA KUELIMISHANA JUU YA UZURI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, PIA UMETAJA MAMBO YA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR NENDA KASOME KATIBA INAYOPENDEKEZWA SURA YA SABA(MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO), IBARA YA 74-(1)-(4), Natumaini nimekujibu vema. Karibu!!

mm hio nishaisoma yote si mara moja, yote yalioelezwa hayawezi kutekelezeka bila kupiga magoti tanganyika.

na haijaondoa ttz la tanganyika kufanya yake kwa koti la muungano na zanzibar kuonekana kama mgeni au koloni.
 
Kwahiyo unataka iweje?
 
maswala ya kitaalamu hujibiwa kitaalamu.
huu uharo wako jadili na misukule wenzako.

Daudi Mchambuzi kumbe umo kwenye kundi la wenye midomo michafu? Au jina lako ni kazi yako? Jiondoe JF nenda kamche mbuzi inawezekana huko utakuwa huru na ukaacha huo umcharuko wako. Suala hapa ni kupata elimu. ya Katiba ili mwisho wa siku tupate Katiba iliyo bora hapa nchini. Chukua wasaa punguza matusi ongeza muda wa kuisoma Katiba Inayopendekezwa na mwelimishe na ndugu yako ili wote tuielewe vizuri huku tukizimgatia kujiandikisha ili muda wa kupiga kura utakapowadia tukaipigie kura kwa moyo mmoja wa kujenga historia njema ya nchi yetu miongoni mwa mataifa.

Kwa kuwa hapa tunalenga kuelimishana, "maswala" ni wanyama wapo porini na wala hawahusiki na Katiba Inayopendekezwa. Kiswahili fasaha ni "masuala"
 
Back
Top Bottom