GE2025 Polepole: Vyombo vikubwa vya Habari vimepewa vitisho na TCRA kutozungumzia mambo ya msingi kwenye uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Akiongea na wananchi kupitia mitandao ya kijamii, Humphrey Polepole amesema vyombo vikubwa vya habari vimetishwa na kupigwa marufuku kuzungumza mambo ya msingi kwenye kampeni na uchaguzi.

Amesema vyombo vyote vinavyopigwa onyo na TCRA vimekuwa vikimpa taarifa. Ameongeza kuwa TCRA inatakiwa kuwa independent lakini badala yake imekuwa ikishikwa masikio katika namna ambayo si ya kitaaluma kabisa.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…