GE2025 Polepole: Wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Mchakato wa kupata wagombea tumeukosea

GE2025 Polepole: Wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Mchakato wa kupata wagombea tumeukosea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891

"Unajua wakati mwingine lazima tubomoe ili tujenge mimi mkristo kuna mstari unasema wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Huu mchakato wa kupata wagombe kwa kweli tumeukosea" Humphrey Polepole
 
Ikikaribia uchaguzi mambo yanakuwa mengi sana aisee cha kushangaza mitaani watu Wala hawana habari,vikumbo vingi ni wanasiasa tu. Sisi wananchi ni KAZI KAZI tu maisha yasogee.
 
View attachment 3409758
Unajua wakati mwingine lazima tubomoe ili tujenge mimi mkristo kuna mstari unasme wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Huumchakato wa kupata wagombe kwa kweli tumeukosea
HAKUNA alichoongea chochote cha kuidhuru ccm, ni kama ameretreat. hakuna chochote cha faida kwa Taifa, anajadili tu ccm na utendaji wake.
 
Mbona hakubomoa huo utaratibu kipindi cha jiwe wakati yeye alikuwa mwenezi wa chama
 
Chochea kuni n Moto kwa majizi y CCM na mafisadi na majambazi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom