Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
HAKUNA alichoongea chochote cha kuidhuru ccm, ni kama ameretreat. hakuna chochote cha faida kwa Taifa, anajadili tu ccm na utendaji wake.View attachment 3409758
Unajua wakati mwingine lazima tubomoe ili tujenge mimi mkristo kuna mstari unasme wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Huumchakato wa kupata wagombe kwa kweli tumeukosea