Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta kutudhuru

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
 
Maisha bwana from lisu to polepole hii inabidi itengenezewe muvi miaka ijayo the hunter becomes the pray naheshimu mchango wa polepole ila yeye alipanda ngazi Kwa mfumo muovu wa MAGUFULI. Wakati lisu anapigwa risasi alikuwa kwenye sphere of influence Sasa Yuko mbali na orbital diagram ya walaji. Dah siasa za bongo.
 
pray = prey
 
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
Eti kupigania tz hakuna hicho kitu sema unapigania imani yako lakini watz wamekudhau inaonekana bandarini mlikuwa mnaiba sana mfereji umekatwa sasa kelele nyingi mahubiri ya baadhi ya makanisa ni samia serekali hata yesu anataka kuzidiwa umaarufu na samia makanisani
 
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
View attachment 3454314
Kuna wanaosema hata JF pia inahusika kushirikiana na CCM kuuza Watanzania wanaokosoa nchi yetu. Watu tunatetea maslahi ya taifa letu na kuwaanika wahujumu nchi yetu genge la wahuni liko bize kuwanunua waandishi wa habari na wenye forums kutoa taarifa zetu ili watuue. Watanzania tunatakiwa kuikomboa nchi yetu, tuachane na ujinga wa kuyumbishwa na genge la wahuni.
 
Let’s assume vyombo havihusiki kwenye haya, then swali linakuja Mbona wanaofanya haya hawakamatwi?
Compromised? Not effective? Binafsi sijui jibu sahihi kwenye hayo mawili!
 
Back
Top Bottom