Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
pray = preyMaisha bwana from lisu to polepole hii inabidi itengenezewe muvi miaka ijayo the hunter becomes the pray naheshimu mchango wa polepole ila yeye alipanda ngazi Kwa mfumo muovu wa MAGUFULI. Wakati lisu anapigwa risasi alikuwa kwenye sphere of influence Sasa Yuko mbali na orbital diagram ya walaji. Dah siasa za bongo.
I dont know about nje ya nchi, huko ni differenr rules na mazingira mengine so wanashindwa kufanya kazi wffecrive mara nyingi amekuwa wakifeli tofauti na nyumbaniGenge limetapanywa Nchini na Nje ya Nchi !!
Eti kupigania tz hakuna hicho kitu sema unapigania imani yako lakini watz wamekudhau inaonekana bandarini mlikuwa mnaiba sana mfereji umekatwa sasa kelele nyingi mahubiri ya baadhi ya makanisa ni samia serekali hata yesu anataka kuzidiwa umaarufu na samia makanisaniPolepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
Mabeyo atalaumika pia,Kila kitu kina mwisho
Kuna wanaosema hata JF pia inahusika kushirikiana na CCM kuuza Watanzania wanaokosoa nchi yetu. Watu tunatetea maslahi ya taifa letu na kuwaanika wahujumu nchi yetu genge la wahuni liko bize kuwanunua waandishi wa habari na wenye forums kutoa taarifa zetu ili watuue. Watanzania tunatakiwa kuikomboa nchi yetu, tuachane na ujinga wa kuyumbishwa na genge la wahuni.Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu
View attachment 3454314