Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Polepole: Tunataka kufanya ukombozi wa hatima ya nchi yetu ambayo hatima hiyo imekubikwa na giza nene Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa
Huyu ni mtu sahihi kwenye swala hili, anakemea anachokijua kwa undani atatusaidia sana.Polepole: Tunataka kufanya ukombozi wa hatima ya nchi yetu ambayo hatima hiyo imekubikwa na giza nene Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa
View attachment 3478909