GE2025 Polepole: Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa. Ila ukombozi unakuja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Polepole: Tunataka kufanya ukombozi wa hatima ya nchi yetu ambayo hatima hiyo imekubikwa na giza nene Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa

Your browser is not able to display this video.
 
Tangu awamu yao,hayajaanza Leo..... waendelee tu 🐕 hawa
 
Ila maaskofu hawa wa kikatoliki kwa unafiki tu, Kwakweli hawajambo
 
Nawapa pole sana maraisi wa kiislamu wa nchi hii, hakika wanapata tabu sana. Unafiki ni ugonjwa mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…