DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Pole pole yupo smart sana anajua mbinu za kumshabuliwa Adui .
Kwanza kabla ya press conference alisema ataongea mambo kwa 25% .
Katumia muda mwingi kuelezea CV yake .
Katumia lugha ya kifalsafa kuongelea mambo ya kisiasa.
In short CCM wanachoweza kufanya kwa sasa wakae kimya ili walinde heshima ndogo waliyonayo au waongee ili waharibu.
Kama alivyowaambia kuwa ataongea 25% na ndo alichofanya Ila mkichokonoa kuna uwezekano mkaharibu .
Always you can't shutdown the genius.
Nb sisi watu wakiroho huwa hatuoishi na kinyongo Pole pole tumeshamsamehe .