KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
wewe si kamanda si mpampane au kamanda waporojo!?
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema mbele ya makamanda wote eti anayetakiwa kupigwa zaid I au hata kufa ni Mimi?anasema eti Mimi Nina kihelehele kuliko Lema name kwamba siku Nikifa NO NUSU MLINGOTI,wako na OCCID wa Arusha
Polisi hawahawa mnaopigania wapewe maisha bora? Basi pengine huko CCP kuna kitu wanalishwa ili wasitumie akili kwa kufikiri bali watumie kiungo kingine cha mwili. Ndio maana wanawekwa kwenye mabanda kama ya kuku lakini hawajielewi.
Peleka ma------ yako kule pimbi wewe..acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.
Pole sana kamanda.hapa wana mzambarau mwanza wanakupa pole sanaLeo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema mbele ya makamanda wote eti anayetakiwa kupigwa zaid I au hata kufa ni Mimi?anasema eti Mimi Nina kihelehele kuliko Lema name kwamba siku Nikifa NO NUSU MLINGOTI,wako na OCCID wa Arusha
acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.
Mbona hata kuandika hujui?
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema mbele ya makamanda wote eti anayetakiwa kupigwa zaid I au hata kufa ni Mimi?anasema eti Mimi Nina kihelehele kuliko Lema name kwamba siku Nikifa NO NUSU MLINGOTI,wako na OCCID wa Arusha
Halafu cha kufurahisha zaidi na wenyewe wanataga kama kuku vile vile teh.
Nawalaani polisi wote wa aina hiyo!
Bavicha hamjui siasa ila mnalazimisha siasa.