Police Arusha wananitamani, CCM nao wamenikamia

Joined
Sep 10, 2013
Posts
335
Reaction score
478
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema mbele ya makamanda wote eti anayetakiwa kupigwa zaid I au hata kufa ni Mimi?anasema eti Mimi Nina kihelehele kuliko Lema name kwamba siku Nikifa NO NUSU MLINGOTI,wako na OCCID wa Arusha
 
kamanda mawazo umeandikaje?
kwanini msiwapige hao washenzi.ccm
 
Loh! Pole sana Kamanda Mawazo. Ina maana Arusha hakuna sheria wala Polisi hawako kwa ajili ya ulinzi wa raia na mali zao? Huko nasikia kuna akina J4 Mjusi na majambazi mengine yakifanya uhalifu na mauwaji wazi wazi.

Ni vizuri akina Mungi, Craswhise, Liverpool na makamanda wengine mtujuze ni nini hatma ya siasa za aina hiyo. Hali ni ya hatari sana huko
 
the rule of fighting is to fight until the fight is over ,don't fear the enemy.
 
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema mbele ya makamanda wote eti anayetakiwa kupigwa zaid I au hata kufa ni Mimi?anasema eti Mimi Nina kihelehele kuliko Lema name kwamba siku Nikifa NO NUSU MLINGOTI,wako na OCCID wa Arusha

acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.
 
mawazo, lazima wana arusha wote mpendane na mfanye siasa za kirafiki lakini nyie mnajifanya hamnazo kila kitu mnatumia nguvu wakati mnajua wenye kutumia nguvu ni polisi tu acha mpigwe bana tumeshauri tumechoka namtapigwa tu.
 
Du sasa hatari lakini iliyotarajiwa. Aluta contune kamanda mawazo. Vaa viatu vya mandela songa mbele
 
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema mbele ya makamanda wote eti anayetakiwa kupigwa zaid I au hata kufa ni Mimi?anasema eti Mimi Nina kihelehele kuliko Lema name kwamba siku Nikifa NO NUSU MLINGOTI,wako na OCCID wa Arusha
tumwogope yule tu, ambaye anaweza kuuwa mwili na roho lakini si huyo ammaye anauangamiza mwili na kuacha roho ikiwa salama salmini. tupo nyuma yako kamanda, usiogope na siku ukifa au kutolewa hata ukope tayari huyo bwana atkuwa anahusika moja kwa moja. VIVA CHADEMA, ARUNTA CONTINUA
 
Polisi hawahawa mnaopigania wapewe maisha bora? Basi pengine huko CCP kuna kitu wanalishwa ili wasitumie akili kwa kufikiri bali watumie kiungo kingine cha mwili. Ndio maana wanawekwa kwenye mabanda kama ya kuku lakini hawajielewi.
 
Pole mkuu ukombozi utapatikanatu.ilaitacheleweshwa na wajinga hao wasio taka.mabadiliko mungu akuponye uendeleze mapambano nao wakoloni mambo leo
 
acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.
Kwahio Wewe kupasua kichwa kwa risasi ndio
Busara unayoiona majitu mengine ni ujinga tu
Umetajaa kichwani mleta mada amekwambia
Wamevamiwa kwenye Kambi Yao Wewe
Umekalia kuropoka utafikiri ni kichaa poor you.
 
Arusha hatuitaki ccm kwanini polisi
Wawalazimishe raia?
Kamanda mawazo komaeni tuko nyuma
Yenu watanzania
 
acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.

kwa ulichoandika huna tofauti na kange,nyamafu wewe!!!!
 
Back
Top Bottom