Tatizo police wetu kutumia nguvu kupita kiasi,na hata risasi za moto kwa raia wasio na silaha wao wanaona kama ndio suluhu,wanashindwa kuelewa kua watanzania wa leo wamekosa imani nao,na wamejikatia tamaha na maisha na wako tayari kwa lolote,hizi ni dalili mbaya sana za raia kuto ogopa polisi japo wana silaha za moto,wajue mambo yatakapokuja kugeuka hakuna atakae kuwa salama!ni bora watafute njia mbadala za ku deal na wananchi na si mabavu na kutoa roho zao! "Risasi na silaha zote hazitatosha kuwaangamiza wote pale wananchi watakapo amua" - J.K Nyerere