Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Picture+011.jpg
Picture+011.jpg
 
Watanzania wanaonea watanzania wenzao ni makaburu,hatukuwapinga makaburu wa south africa kwa ajili ya rangi zao bali kwa ajili ya vitendo vyao - J.K .Nyerere(great thinker) R.i.p
 
Tatizo police wetu kutumia nguvu kupita kiasi,na hata risasi za moto kwa raia wasio na silaha wao wanaona kama ndio suluhu,wanashindwa kuelewa kua watanzania wa leo wamekosa imani nao,na wamejikatia tamaha na maisha na wako tayari kwa lolote,hizi ni dalili mbaya sana za raia kuto ogopa polisi japo wana silaha za moto,wajue mambo yatakapokuja kugeuka hakuna atakae kuwa salama!ni bora watafute njia mbadala za ku deal na wananchi na si mabavu na kutoa roho zao! "Risasi na silaha zote hazitatosha kuwaangamiza wote pale wananchi watakapo amua" - J.K Nyerere
 
Ingieni tu mitaani, mbona mmeacha? Arusha l na Arusha ll imewatosha kabisa, sasa hivi heshima na adabu.
 
Hiyo picha ya kwanza ya huyo kijana inapotosha ukweli hakuuwawa arusha wana jf tusipandikize chuki kwa propaganda

Agree with you. Huu ni usanii unawapatia ahueni polisi. Huyu aliuwawa Ilala tena alipigwa risasi na mmiliki wa bar waliyoivamia na kuazisha vurugu. Huyu alikuwa akijulikana kama 'Sadam' yaani haogopa na alikuwa anakwenda kumkabili mwenye bar, jamaa akaiachia. He was dead on spot.

MAUJI KWENYE BAA MCHANA KWEUPE! - Global Publishers
 
wanajifanya police wana nguvu msichana moja police zaid ya kumi na mabunduki ndio tz tukilete makomando wawili tu watapigwa police wote
 
Hivi hawa polisi si tunaishi nao mtaani tuwapige wanajifanya wababee wakt wanaishi kwa mikopo mtaani
 
Bora kuendelea kuchochea chuki kama moja ya njia za kutetea haki

Sizani kama Unachochea chuki. naamini kuwa tunaoona picha hizi tunaamini POLISI SIYO RAIA WALA WATUMISHI WA UMMA kama idadi kubwa ya watu wanavyotaka kubagain na jeshi. pia hizi siasa za kishenzi zitaua watanzania wengi, kwani nani kasema maandamano na hisia inaweza kuwa ndiyo njia pekee iliyopo? katika kudai haki zetu?

 
Mbona mmeweka za Zanzibar tu, tunataka za Arusha. 1 na 2.
 
Back
Top Bottom