mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
[emoji23][emoji1787]Tanzania [emoji1241] tuna Amani sana huwezi kuta askari anapiga raia risasi hovyo hivyo labda uwe JAMBAZI ... Bora kua MBWA DAR kuliko kua mtu mweusi marekani...(najua kuna pingapinga litani-quote kunikumbusha habari za Akwilina) lakini huwezi linganisha na kwakina Freedom and Liberty