Police chases a 7 years old driver

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109
Katika kitu ambacho police wanatakiwa kuwa nacho ni ujuzi wa kukabiliana na matukio mbali mbali bila kuhatarisha maisha ya raia. Nina uhakika kuwa chasing hii ingetokea Tanzania basi mtoto huyu angepoteza maisha na polisi kijitetea kuwa walidhani jambazi.

Mtoto kaiba funguo za gari nyumbani kaenda matembezi watu wakamshitukia wakawataarifu polisi, na polisi kwa busara kubwa bila kuweka presha kwa mtoto kuongeza speed wakamwacha ajiridhishe kuwa katika speed ya 45miles/h polisi hawawezi kumshika mpaka alipofika nyumbani, kusimamisha gari na kukimbilia ndani kujificha. Hii ndivyo inatakiwa kwa polisi wenye kutumia brain zao siyo kukimbilia kupimana ubavu na wananchi kwa virungu au risasi.

Hebu cheki hii chase uamue, huyu dogo ni mjanja au mtukutu?

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=khx41om3ApQ"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Nimeitizama kwenye CNN nikashangaa kweli...kasema it was
too hot to go to church!!!
 
Nimeitizama kwenye CNN nikashangaa kweli...kasema it was
too hot to go to church!!!

Huyu dogo nafikiri akipatiwa elimu vizuri anaweza kuja kuwa mtaalam mzuri maana anaonakana ana kichwa kizuri cha kufundishika. Lazima baba yake alikuwa anamuweka kwenye usukani mara kwa mara. Japo ni hatari ila dogo ni kichwa.
 
I agree. kama anaweza kumudu gari kiasi hicho basi there is some
sharpness in the boy. BTW are they going to charge him?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…