Katika kitu ambacho police wanatakiwa kuwa nacho ni ujuzi wa kukabiliana na matukio mbali mbali bila kuhatarisha maisha ya raia. Nina uhakika kuwa chasing hii ingetokea Tanzania basi mtoto huyu angepoteza maisha na polisi kijitetea kuwa walidhani jambazi.
Mtoto kaiba funguo za gari nyumbani kaenda matembezi watu wakamshitukia wakawataarifu polisi, na polisi kwa busara kubwa bila kuweka presha kwa mtoto kuongeza speed wakamwacha ajiridhishe kuwa katika speed ya 45miles/h polisi hawawezi kumshika mpaka alipofika nyumbani, kusimamisha gari na kukimbilia ndani kujificha. Hii ndivyo inatakiwa kwa polisi wenye kutumia brain zao siyo kukimbilia kupimana ubavu na wananchi kwa virungu au risasi.
Hebu cheki hii chase uamue, huyu dogo ni mjanja au mtukutu?
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=khx41om3ApQ"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]