Hatuna nguvu kazi ya kupeleka huko. Jisaidieni wenyewe kwanza mkishindwa tuleteeni. Kwanza wewe muongo mbona uliweza kuandika haya kwa kutumia sm yako?? Uliificha wapi wasiichukue??
Mungu wangu....kumbe hadi hapo kuna uporaji wa side mirrors?[emoji15] ...hii michezo imezoeleka jangwani na ubungo kiasi kwamba hizo sehemu mbili hasa ubungo mataa sipiti hata kwa dawa!Pale darajani nilishuhudia vijana wawili waking'oa side mirrors mbili za gari aina ya Toyta Prado, iliokuwa katika foleni jioni, na taratibu wakasepa bila ya hata kuogopa.. Vijana wengi wanaopora maeneo ya pale na kule barabara ya Kilwa wanatokea keko Toroli.. Ni vzuri pakawa na ulinzi shirikishi maeneo yale..
Yeah, jioni kwenye foleni wanang'oa sana vifaa kwenye magari, kupora simu na mikoba.. Halafu wakishapora wanatembea, wala hawakimbii..Mungu wangu....kumbe hadi hapo kuna uporaji wa side mirrors?[emoji15] ...hii michezo imezoeleka jangwani na ubungo kiasi kwamba hizo sehemu mbili hasa ubungo mataa sipiti hata kwa dawa!
Kama ndio huko sina cha kuwasaidia.maana nikiwambia muwe mnatembea na mapanga hamtaweza.huku mikoani huwezi kumkuta mwanaume anatembea free .lazima awe na chochote hasa mida ya usikudaslam, unapopatikana mkate na blue band
Hakuna wa kuwakamata!....ubungo wale watoto machokoraa ndo zao! Hasa wakiona mdada!Yeah, jioni kwenye foleni wanang'oa sana vifaa kwenye magari, kupora simu na mikoba.. Halafu wakishapora wanatembea, wala hawakimbii..
Unashuka na bastola yako,unawamwaga ubongo then unaendelea na safarPale darajani nilishuhudia vijana wawili waking'oa side mirrors mbili za gari aina ya Toyta Prado, iliokuwa katika foleni jioni, na taratibu wakasepa bila ya hata kuogopa.. Vijana wengi wanaopora maeneo ya pale na kule barabara ya Kilwa wanatokea keko Toroli.. Ni vzuri pakawa na ulinzi shirikishi maeneo yale..
Ha ha ha, asa si mpaka uwe nayo hiyo bastola yenyewe..Unashuka na bastola yako,unawamwaga ubongo then unaendelea na safar
Ninayo mzee nataka mkono unawasha nataka kuwalenga watu shabaha matakoniHa ha ha, asa si mpaka uwe nayo hiyo bastola yenyewe..
Kwanin ulishawahi kuporwa na wew?Hakuna wa kuwakamata!....ubungo wale watoto machokoraa ndo zao! Hasa wakiona mdada!
Na wakikuchomolea hata hawakimbii wala nini