POLICE FANYEN PATROL MAENEO YA DARAJANI MPAKA VITUO VYA BANDAR, MIVINJE

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Wadau kuna kundi kubwa sana la watu wanapora, yaaaan wanasimamisha gari kma abiria harafu wanapora mikoba, simu huku wakiwa na visu. Vijana wapo zaid ya kumi, yaaan hatari kwakweli.
Police zunguuken mitaa hiyo vibaka wapo wengi sana wanafanya uporaji
 
Hatuna nguvu kazi ya kupeleka huko. Jisaidieni wenyewe kwanza mkishindwa tuleteeni. Kwanza wewe muongo mbona uliweza kuandika haya kwa kutumia sm yako?? Uliificha wapi wasiichukue??
 
wanachofanya hasa kituo cha bandar wanasimamisha gari wakijifanya kama wanapanda, wakiingia ndio mnaanza kunyang'anyana mkoba au simu na uking'ang'ania unakula kisu
Mbona vitisho hivoo?...hebu elezea vizuri au na ww umetekwa?
 
sasa mm nikuongopee kutaka nini
Hatuna nguvu kazi ya kupeleka huko. Jisaidieni wenyewe kwanza mkishindwa tuleteeni. Kwanza wewe muongo mbona uliweza kuandika haya kwa kutumia sm yako?? Uliificha wapi wasiichukue??
 
mimi nimekaa siti ya mwisho kabisa, ila waliokuwa siti za mwanzo wamenyang'anywa mikoba,
Hatuna nguvu kazi ya kupeleka huko. Jisaidieni wenyewe kwanza mkishindwa tuleteeni. Kwanza wewe muongo mbona uliweza kuandika haya kwa kutumia sm yako?? Uliificha wapi wasiichukue??
 
Pale darajani nilishuhudia vijana wawili waking'oa side mirrors mbili za gari aina ya Toyta Prado, iliokuwa katika foleni jioni, na taratibu wakasepa bila ya hata kuogopa.. Vijana wengi wanaopora maeneo ya pale na kule barabara ya Kilwa wanatokea keko Toroli.. Ni vzuri pakawa na ulinzi shirikishi maeneo yale..
 
Mungu wangu....kumbe hadi hapo kuna uporaji wa side mirrors?[emoji15] ...hii michezo imezoeleka jangwani na ubungo kiasi kwamba hizo sehemu mbili hasa ubungo mataa sipiti hata kwa dawa!
 
Yeah, jioni kwenye foleni wanang'oa sana vifaa kwenye magari, kupora simu na mikoba.. Halafu wakishapora wanatembea, wala hawakimbii..
 
daslam, unapopatikana mkate na blue band
Kama ndio huko sina cha kuwasaidia.maana nikiwambia muwe mnatembea na mapanga hamtaweza.huku mikoani huwezi kumkuta mwanaume anatembea free .lazima awe na chochote hasa mida ya usiku
 
Yeah, jioni kwenye foleni wanang'oa sana vifaa kwenye magari, kupora simu na mikoba.. Halafu wakishapora wanatembea, wala hawakimbii..
Hakuna wa kuwakamata!....ubungo wale watoto machokoraa ndo zao! Hasa wakiona mdada!

Na wakikuchomolea hata hawakimbii wala nini
 
Ndio maaana mnaitwa wanaume wa dar....

Gari ina watu zaid ya 20 alafu munatikiswa na mateja 10 tena kwa silah ya kisu... Dah.

Kwa kweli muibiwe tu aiseee.... Ikiwezekana wawaingilie tu kabisaa...
 
Pale darajani nilishuhudia vijana wawili waking'oa side mirrors mbili za gari aina ya Toyta Prado, iliokuwa katika foleni jioni, na taratibu wakasepa bila ya hata kuogopa.. Vijana wengi wanaopora maeneo ya pale na kule barabara ya Kilwa wanatokea keko Toroli.. Ni vzuri pakawa na ulinzi shirikishi maeneo yale..
Unashuka na bastola yako,unawamwaga ubongo then unaendelea na safar
 
Back
Top Bottom