Mnazinguakinoma
Senior Member
- Dec 3, 2021
- 179
- 338
Jamani sasa kama mmefika huku basi mnataka vijana wote wawe wezi ili ijulikane tu kila kitu atakachofanya ni uharifu.
Haya huko pwani kijana wa watu tena msanii katengeneza mfano wa bunduki(matoi) ambayo anatumia kwaajili ya sanaa hajafanya uharifu wowote lakini anaenda jera #je mnadhani mnatengeneza mazingira yapi kwa kijana ambaye nae anakipaji cha kitu fulani kama huyo mliemkamata afanye nini au AKAIBE ili mumshike vizuri.
Dunia nzima kuna shida ya ajira sasa kama mtakua mnasweka ndani vijana wenye vipaji kama huyo vijana wafanye nini kwenye karne hii ya tatizo la ajira? Police fikirien mara mbili katika hili.