Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums, Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.Dogo mbona leo hujatusalimia kaka zako?
Hivi kwanini kwa tunaoandika makala hua hatuwezi kusema ukweli mwisho wa makala kama tumekopi na kupesti.Wacha uongo, hii hujaiandaa wala hujaiandika wewe umeikopi swahilitime [emoji116]
Ukaja kupaste hapa Jf. Usipende credit usizostahili.
Jamaa umesoma forensic medicine
Wacha uongo, hii hujaiandaa wala hujaiandika wewe umeikopi swahilitime [emoji116]
Ukaja kupaste hapa Jf. Usipende credit sizostahili.
Hivi kwanini kwa tunaoandika makala hua hatuwezi kusema ukweli mwisho wa makala kama tumekopi na kupesti.
Lengo la JF ni kufahamishana na kujulishana na sio mtu kutaka kujionesha eti yeye ni GENIUS.Tutaonekana sio ma genious mkuu.
HATERS....!!!!! HATERS....!!!!! HATERS....!!!!! HATERS....!!!!!Tutaonekana sio ma genious mkuu.
Lengo la JF ni kufahamishana na kujulishana na sio mtu kutaka kujionesha eti yeye ni GENIUS.
Mtu hata kama akiwa ni msomaji sana kiasi gani kamwe hawezi kufahamu mabilioni ya taarifa zilizopo katika vitabu ndio maana tunajuzana humu JF.
HATERS
Cheki sasa unavyokua jinga sasa.
Lengo la JF ni kufahamishana na kujulishana na sio mtu kutaka kujionesha eti yeye ni GENIUS.
Mtu hata kama akiwa ni msomaji sana kiasi gani kamwe hawezi kufahamu mabilioni ya taarifa zilizopo katika vitabu ndio maana tunajuzana humu JF.
HATERS....!!!!! HATERS....!!!!! HATERS....!!!!!
Haters nimewazoea sana humu JF wala hamnipi tabu sasa.Mkuu achana nae huyo ameshaelewa, ila anataka kuongeza comments tu kwenye uzi wake!
Hapana mkuu ila ninasoma sana booksJamaa umesoma forensic medicine