Police Forensic art of facial reconstruction: FBI GENIUS wakiokota Fuvu (Mabaki) la marehemu wanaweza kulitumia katika kutengeneza taswira yake halisi

Tutaonekana sio ma genious mkuu.
Lengo la JF ni kufahamishana na kujulishana na sio mtu kutaka kujionesha eti yeye ni GENIUS.

Mtu hata kama akiwa ni msomaji sana kiasi gani kamwe hawezi kufahamu mabilioni ya taarifa zilizopo katika vitabu ndio maana tunajuzana humu JF.

HATERS....!!!!! HATERS....!!!!! HATERS....!!!!!
 
Tatizo linakuja unapodai wewe ndie ulieandaa hiyo makala!
Nyie ndio huwa mnamtukana mpaka bingwa wangu The bold, licha ya kuwa anafahamisha watu madini ya maana sana humu.

HATERS....!!!!! HATERS....!!!!! HATERS....!!!!!
 
Lengo la JF ni kufahamishana na kujulishana na sio mtu kutaka kujionesha eti yeye ni GENIUS.

Mtu hata kama akiwa ni msomaji sana kiasi gani kamwe hawezi kufahamu mabilioni ya taarifa zilizopo katika vitabu ndio maana tunajuzana humu JF.

HATERS....!!!!! HATERS....!!!!! HATERS....!!!!!

Uki copy nyuzi za watu uwe una acknowledge source husika,acha ujanja ujanja wa kishamba.
 
Back
Top Bottom